Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,909
- 82,619
Haya mambo hayahitaji uwe kwenye dhehebu fulani ili uweze kuyaelewa. Tatizo watu wengi (tena hasa Waislam) huwa hawapeni/wanaogopa kuhoji nje ya box kuhusu masuala ya dini eti wanadai wanakufuru. Utasikia "Astaghafurillah".Kutoka moyoni kabisa
I haven't seen yet a Muslim Mwenye mawazo kama yako Ama alie katika hali hiyo
Anywayz unaweza Kuslim na Kuwa Muislam na See what's up here [emoji28][emoji2]
Ukweli ni kuwa mtu akiamua ku seek knowledge kuhusu reality of the universe and everything utagundua tu hizi dini ni ujanja ujanja ulioletwa ili ku control watu na kustabilize jamii watu tu wasiwe barbarians wakaishi kama wanyama kwa kuwawekea masheria na vitisho kibao.
Tufikiri nje ya boksi.