Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,809
- 95,726
Hata nikipinga ushoga hautaisha sana sana unazidi kuendelea so siwezi fanya kitu ambacho sina uwezo wa kukiondoa. Mungu mwenyewe kashindwa sembuse mie.You do Support Madam Hata usifiche
Ni kweli na hilo ni tatizo kubwa Si kila mtu ana Dini Nowdays kama Wewe na ndio tunapata Matatiz kama haya
Hembu Ngoja Dini gani hiyo inaruhus ushoga na Uzinzi ??[emoji38]
Listen Uzinzi ni dhambi na itabaki kuwa dhambi Hakuna Mahali imehalalisha
Kuongelewa Sana, kuzoeleka Sana isiwe Sababu yako Wewe kusema watu wamechagua isiwe dhambi, it's still a Sin
Just like kudanganya, Ni dhambi pia but it's taken as Granted Sababu ni Tukitu tudogo tuu Socially, Big YES Hata Uzinzi we take as granted and it's far better iwe hivyo
Lakini Si UShoga hatuwez chukulia poa Athari zake ni kubwa Sana kijamii Achilia mbali hukumu zake kwa Mungu
Mshana Jr Kuna Uzi alileta Hapa Wanawake na Wamama Wameandamana Uchi baada ya kukosa Wapenzi, Yani jiji zima limejaa Mashoga, Watu hawana mda na wanawake
is that what you want demi and your fellows ??
Mbona Mntaka kutuletea dunia ya Ajabu Sana. Hivi Mnafikiliaje ninyi ?
HUYU HATA ASIKUSUMBUE MEMFUATILIA MARA NYINGI JLW ANASIFIAGA SANA WANAOFUKUA MITARO YA WANAWAKE, HUENDA NI MDAU MZURI YA 0713You do Support Madam Hata usifiche
Ni kweli na hilo ni tatizo kubwa Si kila mtu ana Dini Nowdays kama Wewe na ndio tunapata Matatiz kama haya
Hembu Ngoja Dini gani hiyo inaruhus ushoga na Uzinzi ??[emoji38]
Listen Uzinzi ni dhambi na itabaki kuwa dhambi Hakuna Mahali imehalalisha
Kuongelewa Sana, kuzoeleka Sana isiwe Sababu yako Wewe kusema watu wamechagua isiwe dhambi, it's still a Sin
Just like kudanganya, Ni dhambi pia but it's taken as Granted Sababu ni Tukitu tudogo tuu Socially, Big YES Hata Uzinzi we take as granted and it's far better iwe hivyo
Lakini Si UShoga hatuwez chukulia poa Athari zake ni kubwa Sana kijamii Achilia mbali hukumu zake kwa Mungu
Mshana Jr Kuna Uzi alileta Hapa Wanawake na Wamama Wameandamana Uchi baada ya kukosa Wapenzi, Yani jiji zima limejaa Mashoga, Watu hawana mda na wanawake
is that what you want demi and your fellows ??
Mbona Mntaka kutuletea dunia ya Ajabu Sana. Hivi Mnafikiliaje ninyi ?
HahahahhNimezaliwa mkristu na huwa naenda church at least mara moja kwa mwaka ikitokea event ya kunifanya niende.
Sina tatizo na ukristu na Sina tatizo na uislamu. Tatizo langu kubwa ni unafiki uliojaa ndani ya dini zetu.vitabu vya dini kujikanganya na mengine mengi ya kipuuzi.
Imani yangu kubwa ni UPENDO..nasimama kwenye hilo. Siwezi amini kitu kisichoeleweka.
Hapana, na nimekuambia tangu mwanzo; two wrongs don't make right.Wewe una support uzinzi?
Tatizo umezaliwa na kukulia katika zama ambazo athari za uzinzi zimefanywa ni sehemu katika maisha yetu na uzinzi ni jambo la kawaida,uzinzi umeleta matatizo mengi tu kwenye jamii na jamii imevurugika sana kwa huu uzinzi ila hatujui wala kuwaza hilo.You do Support Madam Hata usifiche
Ni kweli na hilo ni tatizo kubwa Si kila mtu ana Dini Nowdays kama Wewe na ndio tunapata Matatiz kama haya
Hembu Ngoja Dini gani hiyo inaruhus ushoga na Uzinzi ??[emoji38]
Listen Uzinzi ni dhambi na itabaki kuwa dhambi Hakuna Mahali imehalalisha
Kuongelewa Sana, kuzoeleka Sana isiwe Sababu yako Wewe kusema watu wamechagua isiwe dhambi, it's still a Sin
Just like kudanganya, Ni dhambi pia but it's taken as Granted Sababu ni Tukitu tudogo tuu Socially, Big YES Hata Uzinzi we take as granted and it's far better iwe hivyo
Lakini Si UShoga hatuwez chukulia poa Athari zake ni kubwa Sana kijamii Achilia mbali hukumu zake kwa Mungu
Mshana Jr Kuna Uzi alileta Hapa Wanawake na Wamama Wameandamana Uchi baada ya kukosa Wapenzi, Yani jiji zima limejaa Mashoga, Watu hawana mda na wanawake
is that what you want demi and your fellows ??
Mbona Mntaka kutuletea dunia ya Ajabu Sana. Hivi Mnafikiliaje ninyi ?
USHOGA: Hali ni mbaya sana Ulaya. Je, Afrika tutapona?Hata nikipinga ushoga hautaisha sana sana unazidi kuendelea so siwezi fanya kitu ambacho sina uwezo wa kukiondoa. Mungu mwenyewe kashindwa sembuse mie.
Hebu tueleze madhara ya ushoga ndugu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dhambi kubwa na dhambi ndogo, hili ni somo pana kidogo.Mkuu..dhambi kubwa na ndogo ni zipi? Unaweza kutufafanulia? Zimeorodheshwa katika kitabu kipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan Demi huyu wasasa, nimoja ya wanaopendelea Anal Sex !!!Dini yako unayoiamini ndo imekuwekea utaratibu wa kufanya tendo la ndoa mpaka uoe au kuolewa. Si kila binadamu anayo dini inayomuelekeza hivyo. Mungu alivyotuumba( Kama ni kweli alituumba) hakuwahi kusema mfunge ndoa kwanza ndio mfanye tendo, bali alisema zaeni mkaongezeke muijaze dunia.
Hata baba na mama yake yesu hawakufunga ndoa ya kanisani sijui wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila mimi nitaendelea tu kuelezea huu uzinzi ambao nyinyi mnausapoti na sita jali kunita kwenu mie shoga.Umejibu kishoga kabisa
Kwanza ahsante kwa uelewa wako kuwa kuna dhambi kubwa na dhambi ndogo. Ukisoma Bible na kuielewa kwa unadani hautapata shida kuelewa kuwa ushoga ni dhambi, tena ambayo ni kubwa.Kwa ufahamu wangu mdogo wa kidini
Ninavyojua dhambi kubwa ni yoyote unayoifanya kwa kuidhamiria/ makusudi na dhambi ndogo ni ile ambayo hujaidhamiria...
Dhambi kubwa isiyosameheka ni kumkashifu roho mtakatifu. According to kristu mwenyewe
Uzinzi ni uzinzi tu. Sodoma na gomora ziliangamizwa kama gharika ya nuhu ilipotokea kutokana na Mungu kuchukia maovu. Hakukuwepo na category
Kiufupi ukisoma deeper. Dhambi ya ushoga haijawekwa exceptional kidini hivyo wewe unayezini na binti na anayezini na shoga. Wote mnazini maana hata amri yake tu haina vipengele
Mie humu kueleza jinsi watu wanavyouchukulia kawaida uzinzi na kueleza athari za uzinzi ndio sababu ya kuambiwa mie nasapoti ushoga na wengine hunita shoga kabisa,hata mie sijui ni kipi nilichoeleza kusapoti ushoga?Hapana, na nimekuambia tangu mwanzo; two wrongs don't make right.
Maana yake, just kwa kuwa jamii inaona uzinzi (ambao ni mbaya) kuwa kama kitu cha kawaida haiondoi ubaya wa ushoga.
Sasa ninaomba na wewe ujibu swali langu, lako nimelijibu. Je, una-support ushoga?
Huyo ana tabia za kishoga shoga sina rafiki wa hivyo.Una rafiki anakupa story jinsi gani anavyofumua marinda ya wadada. Utaendeleza urafiki nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo ndio kila kitu hukumu huwa anafanya Mungu.
Were you you taking them seriously Paula???"When asked why they “choose” to be gay, the preachers responded that sexual orientation is inborn, unchosen and unchangeable."
Lol, My days of not taking these "pastors" seriously are certainly coming to a middle.
Ni wapi nimekuita au kukuambia una-support ushoga?Mie humu kueleza jinsi watu wanavyouchukulia kawaida uzinzi na kueleza athari za uzinzi ndio sababu ya kuambiwa mie nasapoti ushoga na wengine hunita shoga kabisa,hata mie sijui ni kipi nilichoeleza kusapoti ushoga?
Sawa kutokana na Maelezo yako hapaTatizo umezaliwa na kukulia katika zama ambazo athari za uzinzi zimefanywa ni sehemu katika maisha yetu na uzinzi ni jambo la kawaida,uzinzi umeleta matatizo mengi tu kwenye jamii na jamii imevurugika sana kwa huu uzinzi ila hatujui wala kuwaza hilo.
Kwani wa kike tunawatafutia mabwana? Mtu mzima haambiwi cha kufanya. Na sio kama natetea kama unavyodhani..ila najiuliza napinga ili iweje itasaidia nini? Nyie mnaopinga ambao ni wengi ni matokeo gani chanya mmefanikisha hadi sasa. Ni Mungu pekee wa kukiondoa hiki kitu...sio kazi yangu.[emoji3][emoji3][emoji3]Aisee
Hivi watu wote tuwe na mawazo kama yenu, How is that world will looks like ?
Sindo mtakao watafutia watoto wezu wakiume mabwana
We are living a lie, as information becomes available more and more it transpires that we are being lied to all along just for the benefit of some. It's a crazy world.You just eventually realized that it's a bit ridiculous to believe in all that.
Sounds like good news to me. Because there is no reason to remain religious.
Kwanza ahsante kwa uelewa wako kuwa kuna dhambi kubwa na dhambi ndogo. Ukisoma Bible na kuielewa kwa unadani hautapata shida kuelewa kuwa ushoga ni dhambi, tena ambayo ni kubwa.
Unapofanya categorisation ya kitu chochote, lazima uwe na criteria unazozitumia. Hii ni kwa kutumia tu akili ya kawaida kabisa ya kuzaliwa nayo, hauhitaji kuwa na PhD kuelewa.
Kuna vitu vitatu vinavyofanya dhambi iwe kubwa:
• Dhamira (makusudio) ya kuitenda
• Uelewa juu ya dhambi husika ikiwemo athari zake
• Uharibifu unaoletwa na dhambi husika
Sasa uniambie kama kuna mtu anayetenda dhambi ya ushoga bila kudhamiria, kuelewa kuwa ni dhambi na athari zake, na uharibifu unaosababishwa na dhambi husika.