Sasa uhalishe mara ngapi,wakati comment yako ina reflect unachokiamini.
"Jinsi mnavyouchukia ushoga kama mngefanya hivyo kwa kuchukia na uzinzi mwengine tungeepuka na mengi hata ushoga pia ungepungua,ila unakuta watu wao wamejihalalishia uzinzi wa kuzini na wake za watu,mama za watu,mabinti za watu na mwishowe kusababisha maradhi ila watu hao hao et wanachukizwa na uzinzi wa mashoga!
Unakuta mtu ameshamharibu tigo binti wa watu halafu mwisho wa siku hamuoi huyo binti anaenda kuoa binti mwengine ila naye akisikia habari za mashoga anachukizwa!"
Kwa hiyo ww huchukii ushoga sababu ya watu wanazini wa wake za watu na ndio maana ushoga unaona kawaida.