South Africa Gay Pastor Marries Another Pastor;

South Africa Gay Pastor Marries Another Pastor;

Jinsi mnavyouchukia ushoga kama mngefanya hivyo kwa kuchukia na uzinzi mwengine tungeepuka na mengi hata ushoga pia ungepungua,ila unakuta watu wao wamejihalalishia uzinzi wa kuzini na wake za watu,mama za watu,mabinti za watu na mwishowe kusababisha maradhi ila watu hao hao et wanachukizwa na uzinzi wa mashoga!

Unakuta mtu ameshamharibu tigo binti wa watu halafu mwisho wa siku hamuoi huyo binti anaenda kuoa binti mwengine ila naye akisikia habari za mashoga anachukizwa!
Kwa hiyo watu kuzini na wake za watu, ndio kuna haralisha ushoga kuwa kawaida,sababu tu wengine wanazini?
 
Ndiyo kuzini na uongo ni kinyume na ukristo na anayefanya hayo sio mkristi wa kweli kwasababu walio katika kristo wakiongozwa na roho hawatendi dhambi.
Hakuna ambaye anaweza kuishi bila kutenda dhambi kabisa labda asiwe binaadamu,au unataka kwamba kwa imani ya kikristo ni kwamba Mungu hasamehi dhambi na ndiyo maana ukifanya dhambi unakuwa sio mkristo?
 
Kuna dhambi kubwa na ndogo.

Moja ya kigezo cha kufanya dhambi iwe kubwa Ni athari yake.

Athari za ushoga ni kubwa sana kwa mtu binafsi anayeitenda na jamii kwa ujumla.
Hata uzinzi una athari kubwa katika jamii(bahati mbaya hizo athari tumeshazifanya ni sehemu ya maisha yetu) na ni moja kati ya madhambi makubwa katika imani zengine lakini ajabu watu hufanya uzinzi ni jambo la kawaida na wamevuka sasa kuingiliana kinyume cha maumbile imekuwa fashion siku hizi. Mtu anawachezea mabinti wa watu na kuwaingilia kinyume cha maumbile halafu haoi hao hata mmoja maana hawezi kuoa mwanamke mwenye kuingiliwa kinyume cha maumbile wakati yeye ndio anaewaharibu hao wanawake.
 
Mar 4, 2020
SOUTH AFRICA – A well known South African Anglican Gay Priest, which some people have been calling a Pastor has officially wedded with his long time Kenyan partner, Pastor Paul Mwaura, in a joyous wedding attended by an exuberant audience of attendees.
Reverend John Maierepi said “I do” to his longtime male fiance, now-husband, Pastor Paul Mwaura, amid cheers from their supporters and LGBT colleagues.
When asked why they “choose” to be gay, the preachers responded that sexual orientation is inborn, unchosen and unchangeable. This left the audience stranded thinking how would the couple have sex and produce children while preaching and teaching the Gospel of Christ. As gay marriages are heavily condemned in many Christian circles and many are questioning if this is biblical since Christianity is directed by the bible.
This is not the first African Gay couple to get married in Africa but it is surely the first of its kind between Religious leaders.
With the enactment of the Civil Unions Bill in 2006, South Africa became the fifth country in the world, and the first in Africa, to legalize same-sex marriage. While supporters of the bill hailed the decision as signaling the end of discrimination against homosexual couples, critics slammed it as undermining traditional marriage between a man and woman.
While openly gay males in Africa face strong social, cultural, and legal discrimination. Generally, these men are treated as social outcasts and their sexuality is condemned amongst their families, schools, and religious organizations. In most sub-Saharan countries it is still believed that people are born heterosexual and sexual minorities are social deviants who should be prosecuted.
Source : Izso News
View attachment 1376838View attachment 1376837

Sent using Jamii Forums mobile app
Amebaki cocastic
 
Hakuna ambaye anaweza kuishi bila kutenda dhambi kabisa labda asiwe binaadamu,au unataka kwamba kwa imani ya kikristo ni kwamba Mungu hasamehi dhambi na ndiyo maana ukifanya dhambi unakuwa sio mkristo?
Ukishakuwa mkristo hutendi dhambi ukitenda ujue umeuvua ukristo.
Na ukiwa mkristo na kuuishi ukristo it becomes impossible to sin. Yani huwezi basi
 
Wamefungishwa KANISANI [emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani muwage mnasoma kilichoandikwa. Ni kanisa gani hilo?? Kila kitu si lazima kifanyikie kanisani, hao huenda hata snake park ili miungu yao iwapokee.
Hilo kanisa hawajaanza leo kuwavumilia hao ma gay pastors. Hiyo ndo yao sera. Nadhani umefika wakati; Waliomo ndani ya kanisa hilo wajiulize; Je, wanaliamini neno la Mungu?
Marko 10 : 6 Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.
Sasa jiulize kidogo tu swali lisilohitaji filosofa kulijibu. Hapo kati ya hizo njemba, nnani mume na nnani mke?? Siku ya arusi mume huvaa suruali na shati na mke huvaa gauni na shela. Sasa ujue kuwa huo ufirauni ni mchafu, mbona basi hawaoneshi kuwa ni yupi anayeenda kuvunjwa chupa????
Nasema, hata wao wenyewe hawaupendi huo uchafu ila misifa tuu imewajaa.
Natamani hii corona iwameze. Si ajabu kesho ukasikia kuna wa kwetu naye kaenda huko. Hiyo dini wamrudishie tu huyo mmishenari
 
Back
Top Bottom