Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Wapendwa wana MMU.
Kumekuwa kukisemwa mara kadhaa kuwa ukifanya mapenzi na mtu mnatengeneza muunganiko fulani ambao unakuathiri kwa namna moja au nyingine.
Wengi wetu tulivyoambiwa tulibaki na mshangao ulioambatana na tafakari yenye kukata tamaa sababu tunajua misururu tuliyofungama nayo.
Na kwa kiasi kikubwa hatujui cha kufanya. Habari njema ni kwamba kuna jinsi ya kujifungua au kufunguliwa najaribu kutohubiri injili sana ili nipate wasomaji wengi.
Vifungo vingine ni vile vinavyofanyika tunapoenda kwa waganga wa kishirikina. Chale tulizochanjwa, dawa tulizooga,dawa tulizokunywa, hirizi tulizozika majumbani mwetu kwenye biashara maofisini.
Kifupi we have sold our souls to the devil. Maana nafsi zetu zimeunganika na nguvu au power behind the charms, chale, concoction au chochote tulichofanya.
Maneno na ahadi za kipindi cha mapenzi hapa nakumbuka kuna mpenzi wangu mmoja aliniambia niseme kuwa sitamuacha mpaka kufa.
Kuna meingine nilimwambia 'nitamsubiri hata ikiwa ni life time kweli natakiwa nibadilishe hizo kauli cause I guess I am still waiting for him.
Mwisho ni porn. Hii huleta uzezeta,uzembe,umaskini, infedality, ndoa kuvunjika, kupunguza umakini katika chumba cha ndoa etc.
So guys I have said hapo juu. Kama unajiona in a way nafsi yako imefungamana na nyingine. Au kuna vitu hupendi kufanya ila unajikuta huwezi acha kufanya basi kwa walioko Dar.
Jumamosi pale emaus center Ubungo kuna ibada kali ya kujifungua na hivyo vifungo ili tuwe huru. Note the word kujifungua ni kuwa wewe unayo nguvu na mamlaka ya kujifungua.
Mradi tu ujue unachokifanya na uwe na imani kuwa kwa Damu ya Yesu ambayo inatosha huitaji kuchinja mbuzi au kuku basi all chains hata kama ni za diamond zinayeyuka.
Nenda na majina ya watu wote uliosex nao kama unataka kutoka katika vifungo nao. Usisahau kujifungua na matambiko na waganga wote.
Kama una addiction ya porn basi unatolewa ushauri pamoja na maombi ya kufunguliwa. Ibada inaanza saa nane mchana,leo pia ipo kwa wenye muda.
Mbarikiwe sana.Cc: Ngotty for clarification. Kongosho for critic na wemgine wote.
Karibuni.