Sospeter Muhongo: Watu wa Tanga wavivu sana

Sospeter Muhongo: Watu wa Tanga wavivu sana

MANI Chakaza zumbemkuu CHAMVIGA na Tanga line wengine, haya sasa

Huyu ni Profesa zumbukuku tuu. Hana hata sifa ya kusogelea Tanga na ndio maana huko kwao kula matunda ni mpaka uandikiwe na daktari kama dose. Sasa mkuu Elli si unajua mtu ambaye hapati matunda matatizo yake? Basi anayo huyu Le Profesar
 
Last edited by a moderator:
Nimeridhika wizara ya Nishati na Madini ina gundu, kwa miaka ya hivi karibuni hakuna waziri aliyetoka salama, list ni ndefu lakini naanzia kwa Daniel Yona, Ibrahim Msabaha, William Ngelaja na sasa Hon. Prof. Dr. Sospeter Muhongo. Hii siyo wizara ya kuongoza kabisa, inaweza kukuchafulia nomino na CV kama ilivyomfanya Muhongo. Kwa heri Muhongo, tutakukumbuka kwa confidence na misimamo mikali dhidi ya wazawa kama akina Mengi.

ha ha ha ha! na chuki yako kwa mengi! kama prof Muongo ana msimamo wa maana kwa nini hakulinda pesa za umma?
 
Alivyosema watu wa Tanga ni wavivu alikuwa anamlenga January Makamba nini?
Mbio za urais ni full kuchafuana.
 
Hivi ukisema,watu wa Tanga una maanisha nini?

There are almost 8 ethenic groups in Tanga which differ in almost every aspect. Kwa,mfano unawezaje kuwaweka kundi moja wasambaa na wadigo?

Prof wa gesi anajua ni kwa nini wauzaji wa masoko ya tanga mjini na muheza yametawaliwa na wasambaa zaidi na sio wadigo au wabondei?

Prof wa gesi anajua ni kwa nini wabondei nawadigo ni wagosi wa KAYA wakati wasambaa ni wagosi wa NDIMA?

Karibuni sana Tanga.
 
Huyu ni Profesa zumbukuku tuu. Hana hata sifa ya kusogelea Tanga na ndio maana huko kwao kula matunda ni mpaka uandikiwe na daktari kama dose. Sasa mkuu Elli si unajua mtu ambaye hapati matunda matatizo yake? Basi anayo huyu Le Profesar

mamatizo yake ndio haya, hana akili na nina m-challenge huo uprofessor wake kaupataje? Isije kuwa ni uprofessor wa kupewa kama yule tezi dume
 
... mungu amlaani na vizazi vyake vitakavyo tumia fedha za walipa kodi
 
Back
Top Bottom