Kicheba One
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 399
- 194
Aliyasema Tanga kwenye kikao cha mkoa, leo amekwisha bungeni,tunamkaribisha Tanga kuna matunda.
muhongo kalowana ile mbaya leo.
Eti kazi yao kucheza kibao kata na kukata mauno, sasa leo yeye ndo kakata mauno
Alisema wafanyabiashara wa Tz wao wanaweza kuwekeza kwenye juice kumbe yeye ni dalali wa singasinga. kweli professa ameumbuka
Alisema wafanyabiashara wa Tz wao wanaweza kuwekeza kwenye juice kumbe yeye ni dalali wa singasinga. kweli professa ameumbuka
Nimeridhika wizara ya Nishati na Madini ina gundu, kwa miaka ya hivi karibuni hakuna waziri aliyetoka salama, list ni ndefu lakini naanzia kwa Daniel Yona, Ibrahim Msabaha, William Ngelaja na sasa Hon. Prof. Dr. Sospeter Muhongo. Hii siyo wizara ya kuongoza kabisa, inaweza kukuchafulia nomino na CV kama ilivyomfanya Muhongo. Kwa heri Muhongo, tutakukumbuka kwa confidence na misimo mikali dhidi ya wazawa kama akina Mengi.
Eti kazi yao kucheza kibao kata na kukata mauno, sasa leo yeye ndo kakata mauno
Profesa Muhongo amenikwaza anavyocheka kwa kupuuza.hivi alikua anacheka cheka nini wakati anatuhumiwa mambo mazito.