Sospeter Muhongo: Watu wa Tanga wavivu sana

Sospeter Muhongo: Watu wa Tanga wavivu sana

hahahahahahaha
Jamaa huwa ana nichekesha sana dharau zake daaa
 
yaan kaniboa na mie sana

Sijui ana akili gani yule profesa,ndio tatizo la kuyapa vyeo majitu ya ovyo.yani taifa zima linasikitika kwa vitendo walivyotufanyia halafu yeye anacheka?Afilisiwe tuone kama atachekelea.
 
Jinalake tu, linajitambulisha ni mtu wa aina gani.
 
Harbinder Singh Theti amechukua Umeme wake muda huu hapa tegeta
 
Ukiwa jeuri unakula jeuri yako hivyo nae anakula jeuri yake
 
Mkuu tatizo sio wizara, bali watu wanataka kupiga dili za chap chap na haraka kupitia wizara hiyo. Mbona Kamishna wa TRA na Gavana wa Benki Kuu walijitahidi kuonesha weledi wao katika hili sakata lakini wizaraya nishati na madini pamoja na bodi ya TANESCO waliamua kupiga dili?

Hamna gundu wala nini

Sawa Mkuu.
 
Jinalake tu, linajitambulisha ni mtu wa aina gani.

Mara nyingi huwa napingana nawe Mkuu.

Kwa hili nakubaliana nawe kwa 100% kuwa Muhongo maana yake ni 'mchoro (stream or conduit) unaopitisha hongo'.
 
Nimeridhika wizara ya Nishati na Madini ina gundu, kwa miaka ya hivi karibuni hakuna waziri aliyetoka salama, list ni ndefu lakini naanzia kwa Daniel Yona, Ibrahim Msabaha, William Ngelaja na sasa Hon. Prof. Dr. Sospeter Muhongo. Hii siyo wizara ya kuongoza kabisa, inaweza kukuchafulia nomino na CV kama ilivyomfanya Muhongo. Kwa heri Muhongo, tutakukumbuka kwa confidence na misimo mikali dhidi ya wazawa kama akina Mengi.

Umemsahau na Nazir Karamagi...mzee wa mapinduzi
 
Malipo ni hapa hapa duniani ..... this arrogant idiot academician cum professor alikuwa anamwita Mzee Mengi ni Dalali wa vitalu ..... tumeshuhudia LEO amebatizwa wazi wazi na mamlaka inayotunga sheria kuwa yeye ni Dalali wa Singa singa Harninder theti

what goes wrong with this professorship ... Tibaijuka, Muhongo and the like of Professor retired Lieutenant canal Dr. JK

Hell no no no

.. and the Late Prof. Kighoma Malima, RIP our dear Professor.
 
tutamkumbuka huju jamaa kwa kutoa "absolute statements" kama vile anatoa lecture ya Geology!!! Kumbe yuko kwenye siasa...maneno yake yamemrudi!

professssor chura chura chura makofi kwa chura
 
huu uprofesa wake katoa wapi yaani kashindwa kujua kilakitu kinachouzwa lazima kiwe na VAT ?

ona sasa anumbulia na kijana mdogo
anathalilisha heshima ya profesa
 
Back
Top Bottom