Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

Wanatengeneza soseji za beef na [SIZE=3 said:
pork[/SIZE], bila kusahau smoked (my favorite).....wana bidhaa nzuri: though wanalack vifungashio na marketing!
Hapo mimi Mhhh!!! nshapata kichefuchefu!!:help:
 
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa.

Bei ni shilingi 13,000/=

Nimezipenda nzuri sana i see.

Wenye watoto wahini kufanya booking mi nimesha kamata tayari.
 
hapa dar mnapatikana sehemu gani?, mi nataka niwafuate hapo hapo dukani au kiwandani kwenu,
ili nikiridhika na quality na quantity ninunune nisiporidhika nisinunue.
naogopa kukupigia ksb naweza nisiridhike na bidhaa yenu halafu nikanunua tu shingo upande kukuridhisha wewe tu.

TRA/TFDA ...... haaa haaaaa .... mkuu ...just a joke
 
Apu wee kachoki kumbi wihuma kuperamihu anu? yaani mboni unikumbushili sana urusti wamuyangu.
 
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa.

Bei ni shilingi 13,000/=
Du dada Kachoki, nimekula zile soseji na smoked meat na nimejiuma ulimi kwa utamu wake.
Product zako zipo juu!!
 
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa.

Bei ni shilingi 13,000/=

Duh, faida 5,000 hapo,,,utaua bendi mkuu..
 
Wamisionari Wabenedictini wa Peramiho OSB(Order of St. Benedict) (Peramiho tafsiri kingoni - Chiperamiho) alivyoniainishia mwanakijiji mmoja wa Maposeni mwerevu wa kucheza ngoma ya Ligwamba, wanatengeneza wurust (kijerumani) ni original ya kijerumani ujuavyo wajerumani walivyo wakali kwa mapochopocho. Kuwadai taarifa ya viwango kwa ajili ya viwangwa wanavyotengeneza ni mno maana mradi wao si kwa ajili ya biashara ila ni kwa ajili ya mahitaji yao ya jamii na ziada ndio wanauza. Ukitaka kupata pia jibini (cheese) original pale ndo umefika, na ole wako wakukaribishe mezani mwao, maana mikate yao ukila huhitaji lunch. Kikombe cha chai ulichozoea ni robo tu ya bonge la kikombe chao na ukijaza huenda usimalize.

Ningemshauri mdau jaribu kuwa na temporal centre for your business, maana mambo ya kuletewa majumbani haya kisha kiwangwa kikimwasha mtu tutakutafutia wapi?
Kuna kipindi fulani kuna mzungu mmoja alikuwa anauza hivi viwangwa kule mji kasoro bahari barabara iendayo Kigurunyembe, karibu na maeneo ya sekondari ya Kilakala, sijui kama biashara yake inaendelea huenda kisha rudi makwao Kulyamba lya Mfipa karibu na northpole. Na yeye alikuwa na viwangwa vya kiwango.

Nyongeza sijui mlima wa Lyamba lya mfipa Zamani ukiwa kama mkoa wa Rukwa, sijui baada ya kugawa kuwa mikoa miwili yaani wa Rukwa na Katavi kwa mtoto wa mkulima, milimia ya Lyamba lya mfipa inamilikiwa na mkoa wa mtoto wa mkulima Katavi au Mkoa wa Rukwa ndani ya wilaya ya Namanyere? Makubwa mwaka huu. Maana kwenye milima hiyo ndiko kwenye hifadhi ya taifa ya katavi kwenye tembo wengi. Olewako ndani ya mbuga hiyo uache gari yako madirisha wazi mbung'o wenye njaa watakukomesha ubishi, niulize yaliyonipata maana utotoni nilikokulia nayajua hayo.

Mimi nakusudia kuanzisha kiwancha changu na kusambaza viwangwa nchi nzima, eneo ambalo nakusudia kujenga kiwanda hicho ni Itetemya kitongoja cha jiji la TABORA katika nchi ya Unyanyembe, na kingine maeneo ya Sikonge na Ulyankulu.
 
Asante sana, center nitawajulisha nipo katika maandalizi
 
Back
Top Bottom