The GLP (good laboratory practice).
Chukua 500mL volumetric flask, weka DI (De-Ionized) water up to meniscus. Dumbukiza magnetic bar na uanze kuizungusha juu ya stirring plate. Chukua weighing boat, weka kwenye analytical balance, halafu tear the balance. Pima 60g NaOH into the boat, mwaga NaOH flask and tap the boat. (The Math imeshanyesha na waungwana.) Shake the flask by inventing it 5 times. Rudisha juu ya stirrer i mix mpaka uone a clear solution, and a couple of more minutes. Pima the emptied boat, ili ujue ni kiasi gani cha NaOH exactly kiliingia.
Calculate the actual molarity based on the measured NaOH iliyoingia, pamoja na Molarity iliyowekwa kwenye chupa, sio 40g/M, hiyo ni theorty. Na urekodi. Hiyo exact molarity ndio ui submit, sio 3M NaOH, unaweza usipate exactly 3.00M NaOH.
Rekodi ulichokifanya mwanzo mwisho kwenye daftari la lab, ukijumuisha calibration and validation dates za balance pamoja na mashine ya water dionization, pia rekodi expiration date ya NaOH na chemical identification number ambayo inakua assigned kwa kila chupa ndani ya Lab, kama ni GLP au GMP lab.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Tween-20 is a solution, so going from 1% to 0.5% is a 1-to-2 dilution. So, measure 250ml of 1%Tween into measuring cylinder, add it into a 50ml flask. Fill the 50ml flask to meniscus with DI water. Invert 5 times, stir on a stirring plate. Record the validation and calibration date of the dionization equipment, and the expiration date of the Tween-20, plus the chemical identification nummber of the Tween from the bottle.
Rekodi tarehe ya tukio. Bandika label kwenye flask inayoonyesha tarehe uliyotayarisha, initials zako, expiration date na concetration ya solution.
Note: Katika mazingira halisi kwenye maabara isiyokuwa ya ki-academia utatakiwa kutumia validated SOP (Standard Operation Procedure) inayoeleza mchakato mzima wa kutengeneza chemical mbali mbali, hata kama unajua. Hii ya kujitungia ni mazingira ya kishule shule. Hivyo, ukiulizwa swali kama hilo kwenye kitu kama interview, anza kwa kusema, nitaomba validated SOP kwa aliyenituma kazi, kama ipo.