Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Sorry d nilikua nachat na rafiki yangu

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,740
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.
 
Thanks.ila nampenda kwa mila zetu nilipanga kuweka ndani awe 2nd wife ,uuuuwi nitakula kichuri ya mutu saa hii napata uchungu sana.
 
Tata kana nke obhae?

Mke wa pili tena wakati tayari una kiburudisho?
 
Nimecheka sana. Kumbe kuna watu wana wivu ata kwa michepuko. Kumbe hujui kama na wewe anakuita mchepuko
 
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu ya utamu wako nakuomba usimpe mtu utamu wangu huo miss u,

Ah sorry d nilikua nachat na rafiki yangu wa kike tulisoma nae huwa tunataniana hivyo nikakosea no ikaja kwako am sorry bby usinifikirie vibaya nakupenda, utarudi lini nimekumiss.

Mpz nijibu nijue kama umenielewa, please usinielewe vibaya darl nakupenda ukija nitakupa no yake uongee nae.

Hizi ni baadhi ya sms ambazo ninatumiwa na mchepuko wangu nilioupenda na kuuamini nashindwa nimjibu nini coz nimerejea leo asubuhi toka moro, naamini naibiwa nipeni ushauri nimjibu au niendelee kumchunia.

Nakushauri rudi gamasara,magoto au inchugu utapata mke bora na si mchepuko
 
unaona wivu kwa mchepuko........?

baki njia kuu.....
 
Yaan, mchepuko ndo unakuumiza kichwa hivyo.....huku una mke ndani na angekuwa mke ungeumia hivyo? Achana na huo mchepuko kaa tulia na mkeo.
 
Ipi sasa........love in Goa.......Mardi........hum pah ki he.......au.......DIL..........

Ya goa itakuwa bora zaidi....!

Hapa fulu kipupwe!
goa-11.jpg

ila we mkali kwenye haya mambo! dah,...
 
Amesuguliwa hadi maumivu ya raha..duh!
 
Back
Top Bottom