NAWASHNGAA watu wanaovumish maneno ya y kwmba nio mbioni kuhama CCM. Sina mpngo huo wa kuhama kwas sababu nilijiunga mwenyewe, sikuingia na mtu CCM, hivyo sina sababu ya kuhama.
Ukinion naringa, ni kwa sababu ya CCM, sina mahala pengine pa kwenda. Ukiniona naringa, ni kwa sababu ya CCM. Ukiniona natamba ni kwa sababu ya CCM, Sina mahala pengine kwa kwenda.
Yeyote atakayeondoka CCM hatupatii msisimko wowote. Ni uhuru wake kufanya hivyo. CCM haiwezi kuteteleka kw sababu ya hao wachache wanaohama. Sisi mamilioni hatuhami, tupo imara.
kw nafasi yangu ya uenyekiti UWT taifa nimejipanga kuwaongoza wanawake wenzangu wote katika kuhakikikisha Dk. Magufuli anaingia ikulu chini ya Kauli mbiu yetu ya; Wanawake ni jeshi kubwa Magufuli Ikulu ni lazima.
Hayo ni maneno ya kada mwandamizi wa chama cha mainduzi CCM aliokuwa akikanusha uvumi wa Chadema na Ukwa Juu ya Sophia Simba kuhamia Ukawa, Napenda kuwaasa chadema kuwa siasa za uvushi hazitawaingiza ikulu na badala yake zinawaondolewa credibility kwa watanzania.