Sophia Simba: Wanawake Jeshi Kubwa hang'oki CCM

Sophia Simba: Wanawake Jeshi Kubwa hang'oki CCM

"Lowasa ni mwanamume wa shoka" .....Sophia Simba

"Ndani ya CCM hakuna msafi".......Sophia Simba..

Niendelee???
 
"Lowasa ni mwanamume wa shoka" .....Sophia Simba

"Ndani ya CCM hakuna msafi".......Sophia Simba..

Niendelee???

hiyo ya mwanaume wa shoka siikatai kwani huyo mama hujui historia yake? kuhusu uchafu wa ccm basi hata ye mchafu kwan yupo ndan ya ccm hivyo atoke ili chama kiwe kisafi
 
Hakuna lolote Sophia ,
ukiwa bado upo ccm bado utakuwa mwizi tu
hadi uokoke wokovu ni kutoka ugambani kuja ukawa
 
Ukifanya utafiti utaona kabisa mikutano mingi ya ccm wanawake ndo wengi. Wanawake wengi wanapiga kura kwa wingi kuliko wanaume. Kwa hiyo ili ukawa waipiku ccm lazima wafanye juhudi kuwashawishi akina mama. Tofauti na hapo wanawake wanazidi kuchotwa na ccm.....mabadiliko bado wanawake wanaipenda ccm. Fanya utafiti mdogo ongea na akina mama wadada kwanza wengi hawajui kinachoendelea na wengi huwa wajisome somei magazeti. Kwa hiyo ukawa kazi bado nzito.

Admin usiipeleke kwenye thread zingine tushare mawazo yetu kwa hili.
Asante.
 
Back
Top Bottom