Ni bora astaafu tu siasa. Hana jipya.
Akihamia ukawa anaitwa jembe!!
Ni bora astaafu tu siasa. Hana jipya.
​Mie pia sioni sifa za huyu mama kuwa hata mwenyekiti wa serklia ya mtaa !!!!!!huyu mama sioni kama kuna kitu anachokijua. hata alityempa uwaziri sijajua alizingatia nini.
labda wana jamvi mnisaidie nisichokijua kwa huyu mama.
Karata ya ccm kwa wanawake ni mgombea mwenza...nadhani wenye kupiga kura za huruma kwa mwanamke mwenzao ndio eneo lao..
Vipi sasa amekubaliana na maamuzi ya cc?
Akiongea na akinamama ccm. Anasema Wanaosema kuna wengine watahama chama cha ccm wanajidanganya, mikakati ya wapinzani wanaijua kwani hukohuko kuna vijana wao wanawapa taarifa. Amevaa vazi limeandikwa BAKI CCM
Umbeya tu wataje embu
Karata ya ccm kwa wanawake ni mgombea mwenza...nadhani wenye kupiga kura za huruma kwa mwanamke mwenzao ndio eneo lao..
Wakati Wewe Ukijinadi Kuwa Huyu Ni Shushu Wenu Lakini Hapo Hapo Na Wewe Usijisahau Kuwa Huko Huko UKAWA Kwenu Karibia 75% Ya Viongozi Wenu Waandamizi Ni Wana UWT Wa CCM Tena WALIOTUKUKA? au Nikutajie Majina Yao Ujifiche Uvunguni Sasa Hivi?