Sophia Simba: Wanawake Jeshi Kubwa hang'oki CCM

MABADILIKO sio, unajua kauli mbiu ya mabadiliko iko wapi? UKAWAAAAAAAAAAAAA...ccm pombe ile ile, ila chupa tofauti.. Amka we mwanamke, weka list ya wabunge bora wa ccm na Upinzani hapa tuwachambue
Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.

Queen Esther
 
Nimevutiwa Zaidi Ya Hilo ENEO Lililoandikwa MICHEPUKO SIYO DILI Na KIJESHI au KIJASUSI Panaitwa " The Potential Target Area ". Akhsante Sana CCM Kwa Kutuletea UUMBWAJI Huu Wa Mwenyezi Mungu AMBAO Nina Uhakika UKAWA Huwezi KUUKUTA Ng'o. Dada nifah Umeona WEZERE Hilo? Unalo Kama Hilo?

Fundi aliyeweka hizo tiles VP,Yuko sawa sawa?
 
Last edited by a moderator:

Mbona unakuwa na jazba Dada? Ukweli UWT ni ya viongozi, wake na watoto wa vigogo WA CCM,haina msaada wowote kwa wanawake wa kawaida.Muda si mrefu Bawacha chini ya Halima Mdee itawatupa nje ya siasa za wanawake wa Tanzania.
 
Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.

Queen Esther
Acha kukoromea wanaoku challenge, bado unakamba mguu unaanza kuleta uenyeji wa Lumumba hapa!

UWT imejaa wanawake wa mipasho tupu hamna watu wa maana mle! Zaidi ya vitu maalumu haina kazi nyingine yoyote, ina sikika wakati wa vitu maalumu tu! Bora hata Bawacha tumewaona wakifanuya mikutano! Nadhani UWT wanogopa kuzomewa ndo maana hawadhubutu kwenda vijijini kufanya mikutano!
 
wanawake ni mtaji.

Siyo mimi!Huko sipo.Kwa wanawake wasiojitambua akima Mama Anna Makinda na Samia Suluhu!Walioshindwa kuiaminisha Dunia kwamba tukipewa majukumu ya Kitaifa tunaweza bila kuwezeshwa...

Samia hagufai hata kidogo..Alishindwa Bunge la watu 600 akawa na upendeleo kwa chama chake tu ataweza Tanzania yote tukiwa vyama tofauti?
 
Wajameni GT hamjambo!!!!

Wanawake ni jeshi kubwa. Ni kweli na Hilo halina ubishi. Ila jeshi la kutembea ki analogia wakati tupo kwenye digital hilo sio jeshi. Nayasema haya kwa sababu zifuatazo:

Baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi wa Viti maaalum ndani ya CCM, wale tuliokuwa tukifatilia kwa karibu na kutazama jumuiya yetu kwa macho matatu tumegundua UWT is a "SLEEPING GIANT".

Hivyo basi kwa kuwa Octoba ni kesho; tunaelekeza nguvu zetu kuamsha hili li giant ili tupate kura nyingi 90% za wanawake wa TZ kwenye Urais, Wabunge na Madiwani. Kura nyingi zitatuongezea viti zaidi.

Umoja wetu ndio USHINDI wetu. Hili linahusu wanachama wote waliogombea wukakosa, waliopata, waliojeruhiwa kwa namna moja au nyingine, wanachama hai, wapya na wale wanaohitaji kuamshwa, n.k. Kwa kifupi malezi yetu ni Chama mbele mtu baadae.

Baada ya Mhe Magufuli kuapishwa tutaanza mchaka mchaka wa kuliamsha li sleeping giant ki digital zaidi. Nina maana gani ninaposoma haya:-
1. Tunahitaji kui restructure, reengineer, reengage, reinforce, reorganise etc UWT
2. UWT inatakiwa kufahamu iko kwenye mfumo wa vyama vingi na sio chama kimoja
3. Wasomi wengi zaidi wanatakiwa ndani ya chama; sina maana nime ignore wasio wasomi la hasha. We need VISIONARY LEADERS
4. Mambo ya kujuana, ili mtu apigiwe kura ni aibu kubwa. oh! Huyu wifi yangu, oh! Mtoto wa dada yangu, oh! kaolewa na mwanangu nk kuwa sera ya mgombea yanatia aibu na kumdhalilisha mwanamke.
5. Yapo mengi siwezi kuyaweka hapa ila
6. Baada ya Octoba 2015 tunataka MABADILIKO ili 2017 tujipange kupata viongozi na sio bora viongozi.

WANAWAKE TUJIPANGE POPOTE ULIPO NA KAMA HUNA KADI YA UWT SASA NI WAKATI SAHIHI NENDA KWENYE KATA YAKO HAKIKISHA UMEPATA KADI NA KUILIPIA. Usiache kumshika mkono jirani yako, rafiki nk kuhakikisha nae anapata kadi. Mengine yatafata baadae.

Naomba kutoa hoja, nakaribisha contrastive criticism, kuunga mkono hoja, kuongeza nyama nk.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Queen Esther
Queen Esther bandiko lako liko vizuri sana lakini kama tu litasomwa ndani ya ccm na jumuiya zake...huku hii bandiko laweza kuonekana ni rumbesa la mzigo mzigo usio na tija....nasema hivyo kwakuwa ccm imechokwa, jumuiya zake zimechokwa na wanachama wamechokana, kutuhumiana na kutoaminiana kuko kwa kiwango kikubwa kupata kutokea katika historia ya ccm
Sasa hivi yeyote atakayesema chochote anaangaliwa kwa macho mengi yaani
- yeye ni nani
-ana nguvu gani
-ana ushawishi gani
-kapata bei gani
- ni kundi la nani
Hayo yote ndio yanayoifanya jumuiya kuwa sleeping giant na hii ni dalili mbaya kwa jumuiya yenu na chama chenu
 
Last edited by a moderator:
Wajameni GT hamjambo!!!!

Wanawake ni jeshi kubwa. Ni kweli na Hilo halina ubishi. Ila jeshi la kutembea ki analogia wakati tupo kwenye digital hilo sio jeshi. Nayasema haya kwa sababu zifuatazo:

Baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi wa Viti maaalum ndani ya CCM, wale tuliokuwa tukifatilia kwa karibu na kutazama jumuiya yetu kwa macho matatu tumegundua UWT is a "SLEEPING GIANT".

......................................................................................................................[deleted]
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Queen Esther

Baada ya kufuatilia uchaguzi uliona nini? Nitakueleza Nilichokiona.

Ktk CCM kuna wachache wanaojifahamu. Walio wengi hawajifahamu na sehemu kubwa ya UWT hawajifahamu. Kwa wale wanaojifahamu wanawatumia hao wasiojifahamu. Wasiojifahamu wanaletewa taarab, nyimbo za kwaya na midundo mingine maana nyimbo ni lugha rahisi hata kwa asiyejua kitu.

Angalia mikutano ya CCM. Hakuna strategies ila kuna mihemuko. Inapigwa nyimbo wasiojifahamu wanakata viuno na kushangiliwa. huo ndo mchango wao. Mara nyingi wachache wanaojifahamu hutawaona wakinengua wao hucheka au kuwachochea wapuuzi wao. ".... wataisoma namba.... ehhhh!"

Sasa hilo jeshi unaloliona la UWT kazi kubwa ni kunengua. Jiulize, ktk akina mama unaweza ukamkuta bi Migilo akikata mauno mkutanoni? tafuta mwanamama mwingine aliye na ufahamu, jiulize kwa nini hakati mauno mkutanoni. Jiulize kwa nini walio wengi wanaishia kucheza mkutanoni. Mtu anajieleza akimaliza, swali? Hakunaaaa!

Huwezi kuwa na jeshi kubwa la aina hiyo, ukajivuna kwamba ni jeshi la kutumainiwa. Unapoteza muda wako.
 
Queen Esther bandiko lako liko vizuri sana lakini kama tu litasomwa ndani ya ccm na jumuiya zake...huku hii bandiko laweza kuonekana ni rumbesa la mzigo mzigo usio na tija....nasema hivyo kwakuwa ccm imechokwa, jumuiya zake zimechokwa na wanachama wamechokana, kutuhumiana na kutoaminiana kuko kwa kiwango kikubwa kupata kutokea katika historia ya ccm
Sasa hivi yeyote atakayesema chochote anaangaliwa kwa macho mengi yaani
- yeye ni nani
-ana nguvu gani
-ana ushawishi gani
-kapata bei gani
- ni kundi la nani
Hayo yote ndio yanayoifanya jumuiya kuwa sleeping giant na hii ni dalili mbaya kwa jumuiya yenu na chama chenu

Mshana Jr.
You have said it all.

Hata hivyo ni wakati kitu kipya KUZALIWA ndani ya UWT. Tusikate tamaa. Hata Nyoka ili akue hujibandua ngozi aende next level of growth of course.

UWT needs kwenda NEXT LEVEL. Imekaa hapo for too long. Tunawashukuru walioifikisha hapo. Tunatambua na kuheshimu mchango wao. Tunataka kuyaona majukumu na malengo ya UWT yaliyo kwenye katiba yakitimia.

Katiba imejitosheleza shida ni haifuatwi wala kuzingatiwa. Unaingia kwenye mkutano wanawake wenye katiba hawafiki wanne!!! Wako buzy wa mpe nani kula baada ya kuliwa.

Lazima tujipange ili huko mbeleni tutoe mwanamke Rais.

Queen Esther
 
Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.

Queen Esther

Jf we dare to talk freely
Au unafikiri humu watu wanaakili Kama yenu ya ndiooo kila kitu?
Expect challenge hutaki Waite Lumumba aka home of lazy thinkers mshauriane.
 
Baada ya kufuatilia uchaguzi uliona nini? Nitakueleza Nilichokiona.

Ktk CCM kuna wachache wanaojifahamu. Walio wengi hawajifahamu na sehemu kubwa ya UWT hawajifahamu. Kwa wale wanaojifahamu wanawatumia hao wasiojifahamu. Wasiojifahamu wanaletewa taarab, nyimbo za kwaya na midundo mingine maana nyimbo ni lugha rahisi hata kwa asiyejua kitu.

Angalia mikutano ya CCM. Hakuna strategies ila kuna mihemuko. Inapigwa nyimbo wasiojifahamu wanakata viuno na kushangiliwa. huo ndo mchango wao. Mara nyingi wachache wanaojifahamu hutawaona wakinengua wao hucheka au kuwachochea wapuuzi wao. ".... wataisoma namba.... ehhhh!"

Sasa hilo jeshi unaloliona la UWT kazi kubwa ni kunengua. Jiulize, ktk akina mama unaweza ukamkuta bi Migilo akikata mauno mkutanoni? tafuta mwanamama mwingine aliye na ufahamu, jiulize kwa nini hakati mauno mkutanoni. Jiulize kwa nini walio wengi wanaishia kucheza mkutanoni. Mtu anajieleza akimaliza, swali? Hakunaaaa!

Huwezi kuwa na jeshi kubwa la aina hiyo, ukajivuna kwamba ni jeshi la kutumainiwa. Unapoteza muda wako.

MchunguZI
Hayo hata mimi nimeyaona kwa sana. Hapa issue ni way-forward. Je tunatokaje? Tena ukitoa sera unazomewaaa!!!!. Unaambiwa usipotezee watu muda we omba kura anza zako. Wengine walizichapa ukumbini!!!!

Mhe. Kinana ni MSIKIVU. Naamini atayapima haya na kuona nini kifanyike kunusuru UWT. Yaani badala ya kutimiza malengo ya kikatiba imefanywa mahali pa wajumbe kupata hela na wengine Ngazi ya kuendea Bungeni.

Jiulize kwanini UWT ni maarufu wakati wa uchaguzi. Baada ya hapo ni kila mtu na lwake. Kama kondoo wasio na mchungaji.

Tujipime
- UWT imetoka wapi?
- UWT iko wapi?
- UWT inaenda wapi?

Queen Esther
 
Jf we dare to talk freely
Au unafikiri humu watu wanaakili Kama yenu ya ndiooo kila kitu?
Expect challenge hutaki Waite Lumumba aka home of lazy thinkers mshauriane.

Asante mpendwa nimeelewa.

Queen Esther
 
Sophia simba you should abandon fear. The only thing you have to fear is the fear itself. Unakumbuka ww na dk.nchimbi na kimbisa mlilalamikia nini kule dodoma au ndo...
 
MchunguZI
Hayo hata mimi nimeyaona kwa sana. Hapa issue ni way-forward. Je tunatokaje? Tena ukitoa sera unazomewaaa!!!!. Unaambiwa usipotezee watu muda we omba kura anza zako. Wengine walizichapa ukumbini!!!!

Mhe. Kinana ni MSIKIVU. Naamini atayapima haya na kuona nini kifanyike kunusuru UWT. Yaani badala ya kutimiza malengo ya kikatiba imefanywa mahali pa wajumbe kupata hela na wengine Ngazi ya kuendea Bungeni.

Jiulize kwanini UWT ni maarufu wakati wa uchaguzi. Baada ya hapo ni kila mtu na lwake. Kama kondoo wasio na mchungaji.

Tujipime
- UWT imetoka wapi?
- UWT iko wapi?
- UWT inaenda wapi?

Queen Esther

Hope unajitambulisha kwa usahihi kwamba wewe ni mdada na ni mwana CCM.
Hapo walipo, CCM, ni vigumu sana kutoka. Chama chenyewe bado kina viongozi chini ya kiwango hadi ngazi ya mkoa. Angalia wenyeviti wa mikoa, makatibu. nenda wilayani. Hizo ndizo ngazi muhimu ambazo zingewaletea watu wa maana.

Ubora wa UWT ya sasa, hakuna tofauti na wale waliokuwepo miaka ya 70. hii ni miaka zaidi ya 30 bado kuna watu wa aina ile na huenda UWT wamerudi nyuma zaidi maana miaka ile ya 70 walikuwa akina mama wanaojiheshimu, leo hii kuna wale wanaoingia ili watumiwe na wanaume. Comfort girls.

Unajisikiaje unapoambiwa mwanamama mwenzako kapewa uongozi kwa sababu ni kigodolo cha fulani? Mbaya zaidi, wapo wengi wanaowinda kutoa huduma ya mapenzi ili wapewe uongozi! utajitoa je kwenye mtego kama huo?

Kinana unayemtaja atawezaje ya chama wakati naye ana madudu yake nje ya chama yanayomfanya afunge mdomo? Hivi ana mke na watoto?
 
njeeseka
attachment.php
Ndo maana sisiemu itabaki nguvuni kwa muda kidogo zaidi ya matarajio yetu kwa sababu ya wapumbavu na wauza mackalio!
sijui pia na kufikiri mnatumiaga mackalio??
 
Mshana Jr.
You have said it all.

Hata hivyo ni wakati kitu kipya KUZALIWA ndani ya UWT. Tusikate tamaa. Hata Nyoka ili akue hujibandua ngozi aende next level of growth of course.

UWT needs kwenda NEXT LEVEL. Imekaa hapo for too long. Tunawashukuru walioifikisha hapo. Tunatambua na kuheshimu mchango wao. Tunataka kuyaona majukumu na malengo ya UWT yaliyo kwenye katiba yakitimia.

Katiba imejitosheleza shida ni haifuatwi wala kuzingatiwa. Unaingia kwenye mkutano wanawake wenye katiba hawafiki wanne!!! Wako buzy wa mpe nani kula baada ya kuliwa.

Lazima tujipange ili huko mbeleni tutoe mwanamke Rais.

Queen Esther

Kwa mtazamo wako huu huhitajiki kuwa ndani ya ccm, unahitajika mno huku nuruni, una mtazamo na mawazo chanya, ambayo ndani ya ccm hayawezi kupewa kipaumbele hata siku moja
 
Back
Top Bottom