Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
ndio maana mmejaa shivas na uwanja wa fisi nk.
Last edited by a moderator:
huyu mama sioni kama kuna kitu anachokijua. hata alityempa uwaziri sijajua alizingatia nini.
labda wana jamvi mnisaidie nisichokijua kwa huyu mama.
Kwa kuwa kwake Mwnykt wa UWT tayari ana kiti maalum ndo mana hujamsikia akigombea. MWNYKT TAIFA WA UWT HUPEWA UBUNGE WA VITI MAALUM KWA KATIBA YAO
ndio maana mmejaa shivas na uwanja wa fisi nk.
Kwa mtazamo wako huu huhitajiki kuwa ndani ya ccm, unahitajika mno huku nuruni, una mtazamo na mawazo chanya, ambayo ndani ya ccm hayawezi kupewa kipaumbele hata siku moja
Mshana Jr.
Naomba ufahamu kuwa katiba nzuri kuliko zote za wanawake kwa vyama vyote ni ya CCM. Sio kwasababu mimi ni mwana CCM najifagilia la hasha.
Tafadhali zisome zote utanielewa. Lengo la CCM ni kumkomboa mwanamke kutoka kwenye dimbwi la umasikini. Tatizo ni kushindwa kubadilika kutokana na mazingira. Tunahitaji Dira mpya, maono, mikakati nk. Bado CCM ni mahali sahihi kwa ndoto za wanawake kupambana na umasikini kutimia ktk Taifa la TZ.
Wenye kuelewa wamenielewa. Pia CCM ni wasikivu.
Queen Esther
Sina tatizo kabisa na katiba yoyote ya ccm, shida ipo kwenye matendo ya sasa hayaakisi uhalisia,
Mimi niliiacha ccm mwaka 1984, lakini kumbe afadhali mara elfu moja ile ccm niliyoiacha miaka hiyo kuliko ccm hii ya leo na idara zake zote, ccm ya leo ni jinamizi linalotisha mno
Mambo yanayofanyika ndani ya chama Mungu ndiye ajuaye na kwakweli hakuna jinsi ya kuirekebisha ccm kwasasa, huu ni ukweli mchungu
Kama haujui huyo Sophia Simba no jeshi LA Lowasa ndani ya CCM usingehangaika kupost huu ujinga, labda nikuulize kule kwenye kikao cha kamati kuu inayoendelea kule Dodoma ndani kuna wajumbe kama Nchimbi, Kimbisa na Kingunge je kikao hicho kinaweza kuongelea mikakati ya CCM juu ya UKAWA?
Mkuu Hawa wengine tunawaomba Wachelewe kidogo kuja Chadema, Waje baada ya uchaguzi kumalizika kwa sababu Lowasa bado anawatumia kuvujisha Siri za CCM kwenda Ukawa, Sasa Wakiondoka wote Tutashindwa Kujua kinachoendelea ndani ya CCM Tunawaomba waudhulie Vikao vyote vya CCM ,Wapeani zamu kwenda kujisaidia wakiwa kwenye vikao ili kila kitakachoongelewa Wakisikie yaani wasipitwe na kitu. Safi sana Mama Sofia kwa Majibu yako mazuri." NAWASHNGAA watu wanaovumish maneno ya y kwmba nio mbioni kuhama CCM. Sina mpngo huo wa kuhama kwas sababu nilijiunga mwenyewe, sikuingia na mtu CCM, hivyo sina sababu ya kuhama."
Ukinion naringa, ni kwa sababu ya CCM, sina mahala pengine pa kwenda. " Ukiniona naringa, ni kwa sababu ya CCM. Ukiniona natamba ni kwa sababu ya CCM, Sina mahala pengine kwa kwenda".
"Yeyote atakayeondoka CCM hatupatii msisimko wowote. Ni uhuru wake kufanya hivyo. CCM haiwezi kuteteleka kw sababu ya hao wachache wanaohama. Sisi mamilioni hatuhami, tupo imara".
"kw nafasi yangu ya uenyekiti UWT taifa nimejipanga kuwaongoza wanawake wenzangu wote katika kuhakikikisha Dk. Magufuli anaingia ikulu chini ya Kauli mbiu yetu ya; Wanawake ni jeshi kubwa Magufuli Ikulu ni lazima".
Hayo ni maneno ya kada mwandamizi wa chama cha mainduzi CCM aliokuwa akikanusha uvumi wa Chadema na Ukwa Juu ya Sophia Simba kuhamia Ukawa, Napenda kuwaasa chadema kuwa siasa za uvushi hazitawaingiza ikulu na badala yake zinawaondolewa credibility kwa watanzania.
Mkuu Hawa wengine tunawaomba Wachelewe kidogo kuja Chadema, Waje baada ya uchaguzi kumalizika kwa sababu Lowasa bado anawatumia kuvujisha Siri za CCM kwenda Ukawa, Sasa Wakiondoka wote Tutashindwa Kujua kinachoendelea ndani ya CCM Tunawaomba waudhulie Vikao vyote vya CCM ,Wapeani zamu kwenda kujisaidia wakiwa kwenye vikao ili kila kitakachoongelewa Wakisikie yaani wasipitwe na kitu. Safi sana Mama Sofia kwa Majibu yako mazuri.