Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

Sophia Simba: Siasa na tendo la ndoa

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,932
Kwenye gazeti la Tanzania Daima la tarehe 21/06/2010 mwenyekiti wa UWT na pia waziri wa Utawala bora, Sophia Simba, amewashauri wanawake ambao ni wanachama wa CCM kutowapa unyumba waume zao ambao si wanachama wa CCM.

Sasa siasa na ndoa vinaendana kweli? Huku sio kuongeza soko la machangudoa Ohio na kuchochea maambukizi ya Ukimwi? Hao ma-housegirl watapona kweli? Au ndio kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi imekwisha anza? Hivi huku sio kuvunja katiba ya nchi ambayo inatoa uhuru kwa kila mwananchi kujiunga au kutojiunga na chama chochote cha siasa?

Hivyo mume hapati unyumba mpaka aoneshe kadi halisi ya uanachama wa CCM? Basi wanaume wengi watakaojiunga na CCM muda huu itakuwa ni utekelezaji wa ushauri wa mama Simba?
 
Sophia simba anawadanganya wenzake. huwezi shindana na mtoto wa kiume kamwe - nawashauri wanawake wa CCM wapuuzie ushauri huu haufai.
 
Kwa WAziri kama Sophia Simba unategemea aongee nini......hilo ni zigo ndani ya CCM.Na imani wachangiaji wengi hawataona ajabu kwa Mheshimiwa huyu kutoa kauli ya kipuuzi kama hiyo
 
Anataka kusambatisha ndoa za watu na kuleta mifarakano katika familia. Huyu naye yukoje lakini?
 
4 real? Ivi kweli Tz tuna wapinzani? Comments kama hizi zingetakiwa kummaliza huyu mama kisiasa kabisa. Lakini ndo hivyo tena. Watu wanachukulia kama ni jambo la kawaida!!
 
Pili, Ivi mwisho wanataka tuiabudu hii CCM? Maana sasa inaingia hadi katika ndoa za watu. Je mwisho si itakuwa huwezi kupata ajira kama wewe sio CCM?
 
Kwa WAziri kama Sophia Simba unategemea aongee nini......hilo ni zigo ndani ya CCM.Na imani wachangiaji wengi hawataona ajabu kwa Mheshimiwa huyu kutoa kauli ya kipuuzi kama hiyo

yeye hana mume atamnyima nani?
 
Kwani huyu mama ana-ndoa?
Akina mama, akili za kuambiwa changanya na zako...
Asijekuwa kuna mume wa rafiki yake anamzengea na amekuja na hiyo janja....mmmhhh wewe mama weee unataka UKIMWI na watoto waishio kwene mazingira magumu waendelee huku wakwako ukiwapigania hata pale wanapokutwa na simu shuleni.... Kweli huifai jamii yetu, au unataka tuamini kuwa ni kweli ulikuwa unataka kuwa ze festi ladio ya mzee.....
 
kwani uyu hamumjui, kina mzee kk et al wamepona sana enzi izo akitafuta kupanda kisiasa, labda anawashauri wenzake wawe kama yeye enzi zake ili wapande kisiasa! ivi mkuu wa kaya kamponya uyu kweli? maana alivyopanda mara uwaziri, mara mwenyekiti wa umoja wa wanawake etc kama mchezo, ni bure kweli!
 
.....she has (long time ago) already reveals what type of woman she is. katika madudu ya kikwete, huyu ni namba one. kama sophia simba anaweza kuwa waziri, basi leo ningekuwa rais wa nchi hii hata mbwa wangu Tiger angeweza kuwa waziri maana nahisi ana IQ kubwa zaidi ya huyu mama aliyengonoka na mzee KK akiwa form II na kupata mimba....waziri aliyepata kukiri pia kwamba alikuwa akiuza baa while schooling.
 
Hivi hakuna mwenye ka-CV kake jamani?? unajuwa wakati mwingine hawa watu wanaopata mafanikio kwa kubebwa bebwa wanakuwa na matatizo sana!!! Waziri Sophia Simba naye ni waziri au ni mjasiliamali tu?? uvundo mtupu!!:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:
 
At her level, that is the best she think off. This also reflect other entities she represent e.g. CC-CCM , Cabinet, UWT, family etc
Once the phylosophers said "show me the useless army and I will show you the useless General"
 
At her level, that is the best she think off. This also reflect other entities she represent e.g. CC-CCM , Cabinet, UWT, family etc
Once the phylosophers said "show me the useless army and I will show you the useless General"

Huyu mwanamama akili zake zinamtoshe yeye na familia yake tu,

thanks.
 
SS wala asilaumiwee jamani mbona ndo waziri kinara muungwanaa anamkubalii sana..upeo wa SS ndo type za mkuu anapendaa sio wajuaji na wafuatiliaji kama Magufuli...bravo jk kwa kumteua SS kama waziri na kumwomba agombee mkiti UWT..
 
ccm ilikuwepo nikila kiapo changu kitakatifu cha ndoa???
 
Hivi yeye ana mume?
Au ndio anatamani kila siku kiwe kikao cha bunge?
kwenye gazeti la tanzania daima la tarehe 21/06/2010 mwenyekiti wa uwt na pia waziri wa utawala bora, sophia simba, amewashauri wanawake ambao ni wanachama wa ccm kutowapa unyumba waume zao ambao si wanachama wa ccm.

Sasa siasa na ndoa vinaendana kweli? Huku sio kuongeza soko la machangudoa ohio na kuchochea maambukizi ya ukimwi? Hao ma-housegirl watapona kweli? Au ndio kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi imekwisha anza? Hivi huku sio kuvunja katiba ya nchi ambayo inatoa uhuru kwa kila mwananchi kujiunga au kutojiunga na chama chochote cha siasa?

Hivyo mume hapati unyumba mpaka aoneshe kadi halisi ya uanachama wa ccm? Basi wanaume wengi watakaojiunga na ccm muda huu itakuwa ni utekelezaji wa ushauri wa mama simba?
 
Duuh, huyu naye ni waziri? Mdomo unatoa uchafu utafikiri chakula hakipitii hapo. Unyumba na ukada wa chama wapi na wapi? Anataka kuharibu nyumba za watu huyu kwa ushauri kama huo. Awe tayari kuubeba msalaba huu.
 
Hivi tulitegemea Bar maid atoe ushauri gani kwa wanawake wenzie, si anajua kufa kufaana, au anamvizia Dr Slaa nini? maana mke wa Dr Slaa ni Diwani wa CCM kule Manyara, so Dr slaa akinyimwa unyumba yeye atampigia misele! du mama ana mbinu huyu!
Wanawake wazuri wazuri wameolewaa, yanabaki Manungayembe (kama SS) yanaangaika!
 
Back
Top Bottom