Sophia Simba hajui kiingereza?

Hakuna mkalimani? Maana hata AU Kiswahili kinatumika, wasiojua kiswahili ujumbe si unawafikia kupitia kalimani?

Tuache Ushabiki hapa,issue co kuwepo wakalimani je huyu mama is she competent kujenga na kutetea hoja mbele ya watu wenye uwezo mkubwa na katka mazingira ambayo hii lugha itakuwa haina nafasi????????????????/
 
Kuweka msisitizo sisi tunaojadili hoja hii tutumie lugha ya kingereza kuthibitisha tunakifahamu maana inawezekana tunaomkandia Mama Sophia pengine ni watupu kuliko MAIMUNA
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Mnataka wakalimani na watafsiri wakose ajira?
walipaswa kumpa wasaa wa kujieleza hata kiswahili ili kucheck IQ yake. Kwani Mh Mnyaa na spika mwenyewe Anne Makinda, walichozungumza ni kiingereza au kiswahili kilichochafuliwa?

Japan ni kijapani tuu na wako juu. Cha msingi ni uwezo wa mtu na kwa sofia simba ni sifuri, CCM wamechemsha kama walivyochemsha kwa spika na naibu wake.
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Sophia Simba ana shahada ya Sheria (LLB) na kwa ufahamu wangu Wanasheria wanajua sana Lugha ili kuweza kujieleza pale inapohitajika. Wewe ukiwekwa kwenye mpambano wa Lugha na Sophia Simba, Kiswahili/English sidhani kama utamuweza. Usiandike tu mambo ya chuki hapa.
 
Labda ungefafanua zaidi nini maana ya Sophia hajui kiingereza kabisa?

Huyu mama amesoma bachelor of law (LLB) pale mlimani miaka ya 80. Sasa kama hajui kiingereza kabisa angewezaje kumaliza masomo hayo?

Naelewa huyo mama aliingia mlimani kama mature student na alikuwa ana struggle na shule lakini kama alimaliza kwa vyovyote hawezi kushindwa kiingereza cha kujieleza. Kumbuka miaka hiyo faculty ya sheria ilikuwa inachukua wanafunzi wacahcahe wenye uwezo (kama 60 kwa mwaka) na mwanafunzi akichemsha tu, ilikuwa inakuwa ngumu sana kumaliza.

Anaweza asiwe na kiingereza kizuri sana lakini sio cha kushindwa kabisa kujieleza.

Sina uhakika kama mlimani ulipata kufika. N kama ulifika ulipaswa kujua kuwa kwa wanawake baadhi wana degree zao special kwa maprofesa(I mean, the underskirt degrees). Sishangai huyu mama akawa mmojawapo.
 
Kuna kiingereza za darasani na kuongea katika public, sasa inawezeka kuonge ndio taabu jamani
 
tuache ushabiki hapa,issue co kuwepo wakalimani je huyu mama is she competent kujenga na kutetea hoja mbele ya watu wenye uwezo mkubwa na katka mazingira ambayo hii lugha itakuwa haina nafasi????????????????/

mimi nadhani issue ni kwamba kama tunajari uwezo wa mtu, sophia simba hakustahili ile nafasi kwa maslahi ya taifa, ccm wao wanachowaza ni ulaji tu, na sio uwakilishi makini, sophia amezaa na msouth africa, kwa hiyo kile kiingerza cha kuombea maji anajuwa, lakini mimi nasema hana uwezo wa kuwakilisha nchi kwenye bunge lile. Kwanza historia yake yeye ni viti maalum tu. Hata huo uwenyekiti wa uwt ameupata kwa mizengwe ya hali ya juu, aliyestahili kuwa mwenyekiti ni mke wa sir george kahama.
Hitimisho, mwanamke wa umri wake ukiona hana mume ujuwe iko mushkeli, sophia hana mume.
 
Labda ungefafanua zaidi nini maana ya Sophia hajui kiingereza kabisa?

Huyu mama amesoma bachelor of law (LLB) pale mlimani miaka ya 80. Sasa kama hajui kiingereza kabisa angewezaje kumaliza masomo hayo?

Naelewa huyo mama aliingia mlimani kama mature student na alikuwa ana struggle na shule lakini kama alimaliza kwa vyovyote hawezi kushindwa kiingereza cha kujieleza. Kumbuka miaka hiyo faculty ya sheria ilikuwa inachukua wanafunzi wacahcahe wenye uwezo (kama 60 kwa mwaka) na mwanafunzi akichemsha tu, ilikuwa inakuwa ngumu sana kumaliza.

Anaweza asiwe na kiingereza kizuri sana lakini sio cha kushindwa kabisa kujieleza.
Well presented, chuki binafsi zinafanya mijadala inakosa thamani!
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

una maana tuko nchi ulizotaja au? Mnalingana financial and economic status au? Walikuwa wanapiga kura kuichagua serikali au wabunge wa nchi za Sadc,au huelewi kinachoendelea! Kama umeamka si uulize kinachoendelea?
 
JIbu Hili Hapa:
WATANZANIA = hutumia lugha ya Kiingereza katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili, sasa kama mtu hajui Kiingereza alipataje hiyo fani au shahada?
Warusi - Hutumia Kirusi kusoma
China - Hutumia Kichina Kusoma
Japan - Hutumia KIJapani kusoma
Sasa kama sisi tunasoma kwa lugha ambayo hatuimudu tunapataje shahada zetu? Au ndiyo tunakariri tu na baada ya mtihani ndiyo kwisha. Language is very important in communication.

Hongera kwa uchambuzi mzuri. Umenifumbua macho hakika. Kweli kwa mtu asiyejua anaweza kushawishika kwamba mbona wachina hawazungumzi kiingereza na mambo yao yanakwenda tu kumbe wenzetu hata masomo yao yote wanatumia lugha yao. Kwa ujumla, kiongozi asiyeweza kuongea kiingereza fasaha lazima atakuwa kihiyo kwani kama ni fursa za kujifunza na ku-improve lugha anazo nyingi sana.
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

Kanuni ya Bunge letu (toleo la 2007) kuhusu official language bungeni ni hii hapa: 144.-(1) Shughuli za Bunge zitaendeshwa katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza, bila tafsiri ya lugha hizo kutolewa. (2) Kwa kadri itakavyowezekana, Mbunge atajitahidi kutochanganya lugha zote mbili wakati anasema Bungeni, isipokuwa tu pale anaponukuu.
Sasa wewe unasemaje? Maswali ya msingi hapa ni je, Bunge la SADC wanatumia lugha gani ambayo/ ambazo ni official? Je, kuna interpreters?
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

uzuri CCM wanalijua hili nilimsikia Mheshimiwa mmoja anayehishimiwa sana na CCM nae akilalamika kwamba wabunge wengi wa CCM hawatakuwa na manufaa Bungeni kwani wamefuata Pesa na akasema live wenzetu wa Chadema wanawabunge wenye akili na niwatu watakaoleta Impact Bungeni.....sio hawa wetu sijui ni nini akatoa Mfano wa Dodoma ni wa Kondoa Vijijini na Kongwa na pale Mpwapwa kidogo wengine hawana msaada kabisa...
Niliposikia hili toka kwake nilishangaa..... ila kwa kweli ni aibu sitashangaa mijitu ikiwa inapiga makofi tu hata yakiambiwa wananchi wa Jimboni mwenu watatolewa Kafara....:evil:
 
Acheni kueneza uwongo jamani, yaani Sophia Simba kama hajui kiingereza kabisa angeweza vipi kufanya seminars, presentations na madudu kibao ya LLB pale mlimani kuanzia 1989 mpaka 1992?

Hata kama kuna kubebwa lakini asingelijua Kiingereza ingelikuwa ngumu sana kumbeba kwenye masomo yote. Lazima tuelewe LLB sio mahesabu na bila lugha kabisa huwezi kufanya la maana.

Huyo mama is not among the brightest but also she is not dull as some of you guys want us to believe.
 
Tuache Ushabiki hapa,issue co kuwepo wakalimani je huyu mama is she competent kujenga na kutetea hoja mbele ya watu wenye uwezo mkubwa na katka mazingira ambayo hii lugha itakuwa haina nafasi????????????????/

Uwezo anao ndio maana wakinamama wote wa CCM wamemwamini wakamchague awe kiongozi wao, au unamaanisha waliomchague na yeye wanafanana?
 
Sina uhakika kama mlimani ulipata kufika. N kama ulifika ulipaswa kujua kuwa kwa wanawake baadhi wana degree zao special kwa maprofesa(I mean, the underskirt degrees). Sishangai huyu mama akawa mmojawapo.

Hayo ndio maneno ya wanaume siku zote kudhalilisha wanawake. Ndio kila sehemu kuna kubebwa lakini kwa jinsi mlimani ya wakati huo (sina uhakika na sasa) isingelikuwa mtu ambaye hata hajui kabisa kuongea kiingereza aweze kubebwa na walimu wote kuanzia DS mpaka yale masomo yenyewe ya LLB.

Hiyo course ilikuwa inaongoza kuchukua watu wenye uwezo wakati huo (around 60) nchi nzima. Kuna watu walikuwa wana disco mpaka hata wakiwa mwaka wa tatu. Sasa nashangaa huyu mama ambaye hajui kabisa kiingereza angewezaji kupita hiyo miaka mitatu?

Sophia Simba alianzia kusoma certificate tena hapo hapo UDSM hivyo yeye ni mpambanaji kutokea chini. Hakuwa na uwezo mkubwa sana kama wanafunzi wengine lakini pia ni makosa makubwa sana kufikiri mtu kama Sophia Simba ni mjinga.

Najua sio fluent wa kuongea kiingereza kama anavyo ongea Kiswahili lakini kusema hajui kiingereza kabisa nafikiri is either outright false or exaggerated beyond belief.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom