Sophia Simba hajui kiingereza?

Sophia Simba hajui kiingereza?

Kweli nafikiri alipaswa kuachiwa ajieleze kwa kiswahili au kiswaenglish kwa sababu huko kwenye vikao vya sadc kuna system inayomwezesha kila mshiriki kusikia na kuzungumza lugha anayoiweza zaidi. Kuto jua english haina maana hawezi!
 
Cha msingi ilimpasa kujinadi mbele ya wabunge.
Ngeli kwake ni issue sasa SADC mbona kiswahili hawakitumii naona itabidi awe anakaa kimya au asome atakachoandikiwa na kula ela za bure kama mbunge wa uko
 
labda ungefafanua zaidi nini maana ya sophia hajui kiingereza kabisa?

Huyu mama amesoma bachelor of law (llb) pale mlimani miaka ya 80. Sasa kama hajui kiingereza kabisa angewezaje kumaliza masomo hayo?

Naelewa huyo mama aliingia mlimani kama mature student na alikuwa ana struggle na shule lakini kama alimaliza kwa vyovyote hawezi kushindwa kiingereza cha kujieleza. Kumbuka miaka hiyo faculty ya sheria ilikuwa inachukua wanafunzi wacahcahe wenye uwezo (kama 60 kwa mwaka) na mwanafunzi akichemsha tu, ilikuwa inakuwa ngumu sana kumaliza.

Anaweza asiwe na kiingereza kizuri sana lakini sio cha kushindwa kabisa kujieleza.

haaingii akilini kudai huyu mama hajui kiingereza! Hakuwa na mpinzani katika "gender" group - aliyepost hii mada si mchambuzi wa habari!
 
Hivi huyu mama ndiye aliyezaa na KK? siasa za kuzaliana watoto. Huko SADC atapata buzi jingine la kumtafsiria. Poleni Wadanganyika
 
Nothing Sophia Simba she knows, not only english, huyu ni hovyooooooooooo, kichwani upupuuuuu, na anawaza ........... everytime, unakumbuka alisema wamama wa CCM eti wawanyime waume zao mapenzi kwa watakao pigia kura upinzani? kichwani kwake ..............

proof mnaomsema mama sophia ....vile vile hamjui kingereza!!!!!!!
msitunyanyase na viingereza vyenu....
 
Wewe umekosa hoja, acha ushabiki...... Sadc wanatumia lugha gani? can she be effective representative? common, be objective to issues of national interests.

SADC wamewekeza kwenye vifaa vya mawasiliano vya teknologia ya hali ya juu toka marekani.

Vifaa hivi vinauwezo wa kutafisiri toka ki-ingilishi kuwa kiswahili, hivyo poa sana kwa sophia. Alijua fika kuwa hivi vifaa viliwekwa October 2010.
 
Hayo ndio maneno ya wanaume siku zote kudhalilisha wanawake. Ndio kila sehemu kuna kubebwa lakini kwa jinsi mlimani ya wakati huo (sina uhakika na sasa) isingelikuwa mtu ambaye hata hajui kabisa kuongea kiingereza aweze kubebwa na walimu wote kuanzia DS mpaka yale masomo yenyewe ya LLB.

Hiyo course ilikuwa inaongoza kuchukua watu wenye uwezo wakati huo (around 60) nchi nzima. Kuna watu walikuwa wana disco mpaka hata wakiwa mwaka wa tatu. Sasa nashangaa huyu mama ambaye hajui kabisa kiingereza angewezaji kupita hiyo miaka mitatu?

Sophia Simba alianzia kusoma certificate tena hapo hapo UDSM hivyo yeye ni mpambanaji kutokea chini. Hakuwa na uwezo mkubwa sana kama wanafunzi wengine lakini pia ni makosa makubwa sana kufikiri mtu kama Sophia Simba ni mjinga.

Najua sio fluent wa kuongea kiingereza kama anavyo ongea Kiswahili lakini kusema hajui kiingereza kabisa nafikiri is either outright false or exaggerated beyond belief.


Mkuu kujua kiingereza kabisa au kutojua kabisa, hakuna maana yoyote. Kama anajua kiingereza kabisa, yeye si mtu wa kwanza, na kama hajui kiingereza kabisa yeye si mtu wa kwanza, wapo wengi tu. Issue ni kwamba je anaweza kuwa mwakilishi wa Tanzania? Does she have what it takes to be a qualified representative? Kusoma chuo Kikuu, Kuongea kiingereza peke yake si vigezo tosha. Vina nafasi yake, lakini pekee havitoshelezi.

Tunatakiwa kujudge kutokana na utendaji wake kwenye ofisi alizofanya kazi, maneno aliyosema, in public and in private, tabia zake, mienendo yake n.k. Tuangalie uwezo wake wa kufikiri, kuongea (hata kwa kiswahili) not amount of words she can speak or for how long she can speak, but substance of what she has spoken. Hapo ndio kuna tatizo.
tunaweza kujua yeye ni nani akilini mwake.

Tuangalie aliingia kwenye ofisi alizoingia kwa njia gani. was it for merit, Know how or was for know who.

Kufaulu mitahini na kupata certificates kunawezekana kwa strategies nyingi tu, so vyeti peke yake si kigezo. Tuangalie rekodi ya jumla ya utendaji wake, tusimhukumu kwa kiingereza tu
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Maoni yangu tija si kutojua kiingereza ila urimbukeni alionao, hana fikra na mawazo finyu hivyo kujieleza ingekuwa kichekesho
 
proof mnaomsema mama sophia ....vile vile hamjui kingereza!!!!!!!
msitunyanyase na viingereza vyenu....

Ok, mla huliwa hana mume na umri wake watoto kila mtuna baba yake, wakike malaya wote, nenda Masaki Mwisho utawaona
 
Ok, mla huliwa hana mume na umri wake watoto kila mtuna baba yake, wakike malaya wote, nenda Masaki Mwisho utawaona

Ni kweli, kila mtoto wa Sophia Simba amezaliwa na Baba tofauti - Kwa Tanzania utaambiwa ni "mambo binafsi"! Lakini kwa wenzetu kama huna uwezo wa kuwa na "stable family" it implies kuwa huna uwezo wa kuongoza jamii..

Sophia Simba anaitwa mpambanaji - KWELI? Msomi wa LLB - KWELI? Haya - Kanyaga twende:doh:
 
Hata huyo rais Kikwete kiingereza hawezi kuzungumza ila sina tatizo nae, ila cha muhimu ni kuwa, wawakilishi wetu lazima wajue lugha rasmi zinazotumika uko, kiingereza ni lugha ya kimataifa na inaunganisha mataifa, lazima wawe na uelewa.Tuache ubabaishaji wa kufananisha Tanzania na Italy, China, Japan, hayo ni mataifa makubwa na yana teknolojia kubwa. Kama nchi inajitosheleza inaweza kutumia lugha yake bila tatizo. Kama mnapinga kiingereza, mbona vyuoni Tanzania wasitumie kiswahili?
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

Hawatumii Kiingereza, lakini kinachowezekana China, Urusi na Japan hapa TZ hatukiwezi. Kwa mazingara yetu (Nchi tegemezi kwa misaada) mtu kuchaguliwa kuwa Waziri ingalao yafaa ajuaye Kiingereza awe na nafasi zaidi ya kupewa huo Uwaziri. Apendaye Uwaziri na ajifunze Kiingereza, kwanza ni faida kubwa kielimu kwake yeye mwenyewe na haimpuguzii kitu ktk Utanzania wake. Sasa awe Mbunge SADC atakua anasogoa na nani huko kwenye funcitons - si atanekana wala hanazo mbele ya wenzake.
 
Ndio maana walimtoa kwenye kujieleza. Ila jamani aibu nyingine ziwe za hapa kwetu tu, bora hata wangempa cheo kingine hapa ndani kuliko kwenda kutuaibisha huko nje??? Hawa m..wa sijui wanataka tukiwa nje ya nchi tuone aibu ya kutaja taifa tunalotoka kwa aibu ya kuwa na mwakilishi ambae hajui lugha achilia mbali hana uwezo wa kuwakilisha mawazo yenye kujenga nchi. ONE DAY YES!!!!!

You know am a 'Kenyan' when am here outside my country because eish, it is always an embarassment when delegates/guys from Tz visits here for study touror conferences, and sometimes i decide to them around for a visit or meeting people and dude communication is always becomes a problem! Tanzanians are known in SADC for having very poor spoken English!! So we tanzanian we hav to acknowledge this and try to make effort to improve on this because we always even dont get many International posts because since we failed to express ourself in English!! Whether we like it or not that is the truth!!! Tunapenda kurusha ngumi tukielezwa ukweli! we have to work hard to improve this!!! Thats why our representatives in many conferences or parliament like SADC will end up keeping quite without contributing anything because of this ' english inferiority complex!
 
Ok, mla huliwa hana mume na umri wake watoto kila mtuna baba yake, wakike malaya wote, nenda Masaki Mwisho utawaona

na wewe je???mtakatifu sana au kwa vile tuko jf hapa vivuli hamna anayejua madhambi yako?...ndio unatumia huu mwanya kumdhalilisha mama wa watu???
ukweli unabaki pale pale...na wewe english haipandi,hukutakiwa kuwa mmoja wa wanaomkandia mama simba...
 
Ni kweli, kila mtoto wa Sophia Simba amezaliwa na Baba tofauti - Kwa Tanzania utaambiwa ni "mambo binafsi"! Lakini kwa wenzetu kama huna uwezo wa kuwa na "stable family" it implies kuwa huna uwezo wa kuongoza jamii..

Sophia Simba anaitwa mpambanaji - KWELI? Msomi wa LLB - KWELI? Haya - Kanyaga twende:doh:

nani huko kwa 'wenzetu amenyimwa uongozi kisa hana stable family?
 
Hawatumii Kiingereza, lakini kinachowezekana China, Urusi na Japan hapa TZ hatukiwezi. Kwa mazingara yetu (Nchi tegemezi kwa misaada) mtu kuchaguliwa kuwa Waziri ingalao yafaa ajuaye Kiingereza awe na nafasi zaidi ya kupewa huo Uwaziri. Apendaye Uwaziri na ajifunze Kiingereza, kwanza ni faida kubwa kielimu kwake yeye mwenyewe na haimpuguzii kitu ktk Utanzania wake. Sasa awe Mbunge SADC atakua anasogoa na nani huko kwenye funcitons - si atanekana wala hanazo mbele ya wenzake.

Nilivyokuelewa Waziri anatakiwa ajue Kiingereza ili aweze kufanya kazi ya omba omba kwa hao ambao Kingereza ni ligha yao!!!!
 
Back
Top Bottom