Sophia Simba hajui kiingereza?

huyu mama kwa level ya watanzania ana elimu ya kutosha kabisa labda tuzungumzie matatizo yake mengine. Na kwa miaka ile elimu iliyokuwa inatolewa si kama ya sasa

school course/degree/award start date end date level

university of dar es salaam llb 1989 1992 graduate
ilonga middle school middle education 1961 1964 primary
kibosho secondary school o-level education 1968 1969 secondary
mekanforbidant college-sweden information studies 1982 1982 certificate
university of dar es salaam certificate in law 1982 1987 certificate
university of zimbambwe postgraduate diploma in women's law1996 1996 postgraduate
new hemphshire university master of science on economic development masters degree
nbc secretarial college pitman's secretarial certificate certificate

source: Bunge website

mkuu unaelewa vizuri maana ya masters degree?
 
Kuweka msisitizo sisi tunaojadili hoja hii tutumie lugha ya kingereza kuthibitisha tunakifahamu maana inawezekana tunaomkandia Mama Sophia pengine ni watupu kuliko MAIMUNA

Sasa mbona hukutoa huo msisitizo kwa kiingereza??

Anyway, hapa JF nafikiri english siyo tatizo kwa vile hatulazimiki kuitumia wala hajuaomba uwakilishi. Tatizo ni pale mwakilishi wetu SADC anayetegemea kutuwakilisha kwa lugha ya kiingereza halafu hajui kiingereza.
 
HAPA bongolander,u is missing the point,mzungu wa barabarani kutojua kingereza does not affect anything,hata wewe mswahili kama hujui kiswahili maadam maisha yako ni ya kula tu uta survive the point ni kwamba huyu bibie carries the hope of tanzanians on her shoulder na katika omba omba yetu(misaada)inabidi awa convince donors sasa kama hawezi kuji express what next-one example MREMA akiwa waziri aliwasili GENEVA miaka hiyo akiwa na assistant ambaye ni fluent in both english and french-huyu assistant hakuwa na off sababu lazima awe by the side of mrema.Hapa ina maana serikali ilingia gharama ya bure sababu kiongozi wake fluency katika lugha ina mgogoro

Mkuu unachosema ni kweli, lakini kiingereza kisiwe kigezo pekee cha kumteua mtu kuwa ofisa. Ninaposema si wazungu wote wanaongea kiingereza maana yangu ni kuwa kuna watu Ujerumani, Russia, na nchi nyingine za ulaya ni ma-mamimuna kuliko watanzania, wanakuwa viongozi baada ya kuwa na credentials zinazosifika, si lugha tu.

Hopes za watanzania haziwezi kubebwa na kiingereza tu, kiingereza ni lugha, kiingereza si ubongo, uwezo na character ya mtu. Kuna mijitu ovyo sana, mifuska, mijizi, mifisadi, miuaji lakini inaongea kiingereza kizuri sana, mijitu kama hii haiwezi kubebea hopes za watanzania kwa sababu ya kiingereza tu. Mingine ina-ongea kiingereza kizuri sana lakini IQ ni well below 50.

Watu ambao hawateuliwi on bases of merit ndio wanakuwa na characteristics za namna hii na ndio wanakuwa na low IQ.
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Whaaaat!!!!!! haiwezekani? Na anataka kuiwakilisha Tz kwenye SADC? Inawezekana kweli?
 
Kama anaenda kuwakilisha nchi SADC basi lazima ajue vyema kujieleza kwa mdomo na kimaandishi la sivyo tunapeleka mzigo an kituko kutuwakilisha...

Don't compare yourself with these countries bwana.....hatujafikia hapo na hatutafikia hata siku moja!!!
 
Wadau nisaidieni...hivi waziri anaweza akawa mbunge wa Bunge la SADC au huyu mama anaona hawezi
kurudi kwenye uwaziri thats why anajaribu kujazia deal zingine.....?
 
JF mie nahisi mnamuoneaga sana mama Sophia...
yule ni kama mama yenu jamani!:nono::nono::nono::tape:
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
Bwana Vicent, SADC lugha ya mawasiliano ni kiingereza na sio kiswahili. Au unataka awe na mkalimani wa kumtafsiria wakati wakiwa kwenye mikutano????, Kama kweli (!?)Sofia hajui kiingereza basi hafai kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye bunge la SADC
 
Haya ndio matokeo ya chama tawala kulindana na kutowandea wengine haki. Mbona wagombea wengine walijieleza na kuomba kura kwa kiingereza, huu udharimu utaisha lini? After all, huyu Sofia alichelewa kupeleka fomu lakini Makinda bila ya aibu akambeba kwa kisingizio cha mgombea pekee kama vile hakuna mwanamke mwingine mwenye uwezo zaidi ya Sofia...Ughh.:nono:
Acha upumbavu wa kulinganisha China Urusi na SADC, lugha rasmi ya SADC ni kiingereza
 
Nothing Sophia Simba she knows, not only english, huyu ni hovyooooooooooo, kichwani upupuuuuu, na anawaza ........... everytime, unakumbuka alisema wamama wa CCM eti wawanyime waume zao mapenzi kwa watakao pigia kura upinzani? kichwani kwake ..............
 
Ndio maana walimtoa kwenye kujieleza. Ila jamani aibu nyingine ziwe za hapa kwetu tu, bora hata wangempa cheo kingine hapa ndani kuliko kwenda kutuaibisha huko nje??? Hawa m..wa sijui wanataka tukiwa nje ya nchi tuone aibu ya kutaja taifa tunalotoka kwa aibu ya kuwa na mwakilishi ambae hajui lugha achilia mbali hana uwezo wa kuwakilisha mawazo yenye kujenga nchi. ONE DAY YES!!!!!
Thats true! Huyo mama anaenda kuliwakilisha bunge, serikali na wananchi wa Tanzania kwa ujumla. Kushindwa kwakwe kushiriki katika mijadala ya bunge la SADC sio tu ni aibu kwake binafsi bali Taifa la Tanzania kwa ujumla! Lakini kwa nini CCM wanashindwa kuona hata mambo haya ya aibu? Kama ni kumtengenezea ulaji kwanini wasimpe ulaji wa hapahapa ndani? Kitendo cha kupitishwa bila kujieleza ni uthibitisho wa kwamba hawezi kuongea kingereza moja ya lugha maalum zinazotumika kwenye bunge la SADC. Hii ni aibu nyingine kwa CCM na sera zao za kulindana na kubebana hata kama mtu habebeki kama Sophia Simba.
 
Back
Top Bottom