Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,082
- 10,443
nadhani awamu ndiyo neno linalofaa zaidihata hivyo huyu ni hawamu yake ya mwisho hapo bungeni
nadhani awamu ndiyo neno linalofaa zaidihata hivyo huyu ni hawamu yake ya mwisho hapo bungeni
kwa taarifa yako aliukwaa uwazr baada ya kumpigia saaana jk vigelegele kwenye kampeni,apart from hapo, ni kilaza tuuunafikiri sophia simba ana matatizo ya kiutendaji, hii ni hasara ya watanzania, badala rais achague watu kwa kuangalia uwezo wao yeye anaangalia wataalam wa mipasho kama kina sophia simba. Huyu mama hafai ata kuwa kiongozi wa familia