Sophia Simba Bungeni

Ndio maana tuna kiu na Katiba mpya ili tupate mawaziri wachapakazi na watakaotumikia wananchi. Kitendo cha kukaa na kutumia muda mwingi kusifu watu badala ya kutatua kero za wananchi ni usaliti wa utawala bora. Swala siyo kusifia watu waliowahi kuwa waume zako bali siku ya leo ni saiku ya kuwakilisha bajeti yako fullstop. Mengine yasubiri urudi nyumbani kwako uongee utakavyo.
Hivi sofia ni waziri wa wizara gani vile? kama vile mawazo ya chooni!
 
Wamerudisha saa 4 toka wakate jana, saa mbili usiku.

Sinza umeme unakata saa 12 jioni unarudi saa 5 usiku, unakatika saa 1 asubuhi wakati wafanyakazi wanaenda Job, sijui ni formula gani wanatumia.. iko siku tutachukua transforma zao tukauze tupate ela ya kununua generator.. maana hazitusaidiii
 
huyo mama ashazoeleka, hana jipya, afu zitto akisema ubunge wa kupewa wanawake tunakacrka kha nimechooooka porojo zake. huyo ngao yake kubwa ni men`s na mbumbumbu wenzie!!!!
 
Yahai mtu kama huyo atamshauri nini rahisi? mi nadhani ndo maana serikali inapwaya sana kwa sababu watendaji aliowachagua hawana mchango kwake
Anamshauri sana kwa wakati wao. Ndiyo Rais amekuwa Rahisi wa Karne!
 
Yahai mtu kama huyo atamshauri nini rahisi? mi nadhani ndo maana serikali inapwaya sana kwa sababu watendaji aliowachagua hawana mchango kwake

Siyo rahisi, ni rais wewe mtu wa wapi hujui kiswahili???au mburundi?
 
Chakula kikuu cha magamba huyu waza. Aliwahi kusema Eduadi lowasu ni mwanaume wa shoka.
 
Takribani dakika kumi sasa, anatoa pongezi na shukrani. Mara Jk mara Kitwana Kondo, ngoja nieendelee kumvumilia
Mwingine naibu wa wizara ya ustawi wa jamii katoa pongezi kuanzia UWT tanga,kikwete,waziri wake.katibu mkuu,familia,mume mpaka dadake anemlelea watoto...halafu anasema kama muda utatosha atajibu hoja 2..duh
 
Hiyo ya pongezi ni tactic ya magamba to run down the clock, kwenye soka tunaita delaying tactic.....

Inatumika sana timu inapozidiwa na hasa baada ya kutangulia kufunga ili wapinzani wasisawazishe!!!

Ndio maana rarely utasikia mwana CCM wa kweli siku hizi anachangia hata bajeti... wapo wachache ambao ni wapiganaji ambao nao hawaeleweki, leo anaweza akaamka hivi kesho vile
 
inasemekana

Hamna bana wote nyie inaonesha si wasomaji wazuri wa magazeti,mbona mwenyewe alishaweka wazi huhusiano wake na mzee kitwana kondo alipofanya mahojiano maalum na gazeti la raia mwema?alisema mzee kitwana kondo hakuwahi kuwa mme wake bali alikua boyfriend wake tu,yeye aliolewa mara moja tu na mkimbizi kutoka south afrika akazaa nae mabinti wawili waliokuwa wakiishi south na baba yao aliyerejea huko baada ya ukombozi kupatikana,lakini alipofariki alikwenda kuwachukua hivyo anao yeye sasa,ila alikiri kwamba kipindi cha u boyfriend na mzee kitwana walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume,na alisema alikutana na mzee kitwana kipindi cha kampeni za ubunge wa ilala yeye akiwa ni mpiga debe wa mzee kitwana akigombea ubunge wa jimbo hilo.

here is the link ya mahojiano hayo kamili,aliongea mengi,likiwamo hilo la kubadilisha wanaume kama nguo,msikieni muone huyu mama alivyo fyatu,namfananisha sarah palin mwanamama fyatu aliekuwa mgombea mwenza mcCAIN kwenye mbio za urais amabzo obama alishinda

Si kweli kwamba sipendwi na wanaume - Sophia Simba
 
Hivi hajarudia kuwambia kina mama watunyime NONINO kwa vile hatukuchagua CCM 2010 jimbo la Ubungo na Kawe?

Aliisha ambiwa akili yake imejaa ngono tu, akasema atakwenda kushitaki kwa 'pilato'. Hivi sinema iliishaje?
 
Kuna wakati huyu mama alisema hakuna mwanaume wa shoka kama Lowasa...kudadeki hajakutana na mimi nimshugulikie...atamshahau hata huyo lowasa
 
Nafikiri Sophia simba ana matatizo ya kiutendaji, hii ni hasara ya watanzania, badala rais achague watu kwa kuangalia uwezo wao yeye anaangalia wataalam wa mipasho kama kina sophia simba. Huyu mama hafai ata kuwa kiongozi wa familia
 
huyu mama ni kama bendera fuata upepo na anakuwa kama hajielewi elewi
 
Back
Top Bottom