Sophia Simba aifagilia CHADEMA

Huyu Mama nae kachoka, eti CDM inatafuta umaarufu! inatafuta au ilishautwaa umaarufu.... CCM inabidi ikimbie wakati chadema ikitembea! Loh
 
despite everything bado namcredit huyu mama kwa alichokifanya, penye ukweli aseme ukweli na ikitokea siku CDM wameenda
astray pia asisite kuwakosoa! hiyo ndio siasa safi!
 
Aaaah! huu ni mwanzo tu bado wengine wengi watakiri hadharani kuwa CMD imejipanga sawasawa na ina nia ya kweli ya kuleta ukombozi kwa Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vyao.:hand:
 
Nilimuona pia, alimtaja na Hlima Mdee ni kama alikuwa anamuonea wivu vile eti wanavaa vimini ndiyo maana vijana wanawakubali!
Sophia bwana, nae si avae kimini tucheke!!!
Akaongezea jamani tupambane na kina Halima mdeeee!???!!! huyu mama bwana, inawezekana anaelekea kudata sasa...
 
Kama anataka kusema ukweli juu ya kufa kwa ccm, aanze yeye kuachia hiyo nafasi ya mwenyekiti maana aliipata kwa nguvu ya udini na kuchakachua; kitendo kilichochangia baadhi ya watu kupoteza imani kwa ccm.
 
Waliyataka haya, mwalimu alisema ikulu si mahali pa kukimbilia wao wanadhani ni mahali pa kufanyia biashara sasa wameshtukiwa na wananchi.

Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na bado mpaka kwenye kikao cha NEC watoe tamko rasmi kwamba CMD noma, salute, na wao waseme Peopleeeees Powerrrrr!!!!
 
Nilimuona pia, alimtaja na Hlima Mdee ni kama alikuwa anamuonea wivu vile eti wanavaa vimini ndiyo maana vijana wanawakubali!
Sophia bwana, nae si avae kimini tucheke!!!
Akaongezea jamani tupambane na kina Halima mdeeee!???!!! huyu mama bwana, inawezekana anaelekea kudata sasa...

Hilo nalo neno, mbona vimini viko vya kumwaga tuu, sasa cha Halima kimemfanya nini.
 
Amesifia na kuponda hapo hapo
Mbona hajasema way forward ili kunusuru chama chao?
Kuna vichwa vingine vikihamia toka CCM kuja CDM ni vema,lakini vingine nafikiri vipokelewe kama wanachama wa kawaida badala ya viongozi,mojawapo kwa maoni yangu ni huyu mama S. Simba
 
hadi huyu muwaza ngono kaweza kufikiri na kujua sababu ya watu kukikataa chama chake?basi ugumu wa maisha ni kipimo cha akili. CHADEMA endelea kukaza buti tutafika
 
Back
Top Bottom