Soon wanasuguana hapo juu

completely done. The way out ni civil /mas engagement war of any kind for the dedicated
 
Rais wa kwenye mawe na huyu wa Mchongo wote hawafai kupewa kiti cha Urais. Na hawatapewa

Kuanza kudhani na kuwaza kwamba Nchi inaweza kupewa hao wawili ni kuonyesha kwa kiasi gani ile nafasi ya juu kabisa ilivyoshushwa hadhi

Tumeichezea sana ile nafasi na kuharibu taswira yake
 
completely done. The way out ni civil /mas engagement war of any kind for the dedicated
That's my greatest fear, ukisoma historia Tanzania ina dalili zote za kuelekea kubaya. Bahati mbaya zaidi walioshikilia mpini wapo blinded kwa race of power na wanasahau historia hufundisha watawala kwa njia ngumu sana.

Bila intervention, kuna vitu viwili vitatokea, Tanzania kuharibika jumla lakini ikawa na powerful dyanasties ambao wao wanakula Royal life while majority wakiwa kwenye unbarelable level of poverty, second option ni kutokea restlessness kwa sababu hii brutality na kuonesha you cannot fight us through legal systems, haiwabani watu, inawafundisha the next step to make. Jino kwa jino

Kiukweli, sitaki kuzifikiria siasa za bongo lakini nikiwaza yanayoendelea, moyo unaumia sana
 
Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Hivi yule rais wa mawe nawe ni mwamba haswa! Si ile video ya kukoroma lakini wapi jamaa akakomaa mpaka leo yupo!
 
Laana ya oktoba 29 na 30, huwez nakuambia huwez kutoboa hakuna awezaye kutoboa, na Bado pale watauana na kufirana huko ******** zao wauane wote abaki ambaye akili itamkaa sawa aongoze nchi kwa akili ********
 
Wanakaribisha civil war, ndiko tunakoelekea.
 
Ni ngumu mzanzibar kuongoza tena
 
Wauane kabisa. Hawana msaada na Tz. Hata wakifa watasahsulika kama akina membe
 
ila chadema bana,hawanaga point kabisa yaani,siasa hazifanywi hivyo,akili kama ya fisi kuzengea mkono udondoke,yeah inaonekana hao wawili kila mmoja anataka kujijenga kisiasa kuelekea 2030,lakini watu hawawezi kuacha kufanya kazi eti kisa mtasema wanasuguana kisiasa,
hii awamu kinachoangaliwa NI KAZI TU, nani atateuliwa kugombea urais,,hilo daraja tutalivuka tutakapofikia na wapi wengi tu wanaofaa,wapi kina nchimbi,makamba,nchemba,Ndejembi,wengi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…