Songesha ya M-Pesa ikiwa haifanyi kazi wakati mtu kiwango kinaruhusu tatizo huwa nini?

Siasa zinatokea wapi kwenye swali la YEHODAYA ? Vodacom na huduma yao ya songesha wanahusianjaje na cdm au ccm?

Kuna majukwaa ya siasa huko kwanini mambo ya katiba na siasa yasijadiliwe huko?

Anaeelewa atoe ajibu, asiyeelewa asubirie wanaoelewa watoe darasa.
Umepigilia nyundo penyewe hao Ni wakwepesha hoja kututoa kwenye reli na waweza kuwa wazembe wafanyakazi wa Mpesa Songesha department
 
Siasa zinatokea wapi kwenye swali la YEHODAYA ? Vodacom na huduma yao ya songesha wanahusianjaje na cdm au ccm?

Kuna majukwaa ya siasa huko kwanini mambo ya katiba na siasa yasijadiliwe huko?

Anaeelewa atoe ajibu, asiyeelewa asubirie wanaoelewa watoe darasa.
Hata lift siku hizi tunapeana kwa kadi za chama
 
Godbless Lema wa Chadema anadaiwa milioni 600 per speaker 's statement madeni ndio yalimkimbiza kanada alikimbia madeni ya taasisi za fedha!!!
Lema anadaiwa milioni 600 wewe unadaiwa songesha ambayo unaweza kuta ni elfu 20 hadi hawakupi tena huduma.alafu unakuja hapa kujifanya mjanja kumbe kapuku tu.Sema namba tukuchangie.Hatuna roho mbaya sisi.
 
Au tumchangie kiroho safi kabisa
Wewe vipi unichangie songesha ya shilingi 500 inayogoma kusongeshwa wakati Ni hela kibao za songesha? Au unadhani naongelea kusongesha mamilioni? Naongelea hata nikiwa porini kusiko vocha nataka kusongesha shilingi 500 ninunue vocha Mpesa
 
Lema anadaiwa milioni 600 wewe unadaiwa songesha ambayo unaweza kuta ni elfu 20 hadi hawakupi tena huduma.alafu unakuja hapa kujifanya mjanja kumbe kapuku tu.Sema namba tukuchangie.Hatuna roho mbaya sisi.
Kwa taarifa yako sidaiwi na songesha hata Mia
 
Siasa zinatokea wapi kwenye swali la YEHODAYA ? Vodacom na huduma yao ya songesha wanahusianjaje na cdm au ccm?

Kuna majukwaa ya siasa huko kwanini mambo ya katiba na siasa yasijadiliwe huko?

Anaeelewa atoe ajibu, asiyeelewa asubirie wanaoelewa watoe darasa.
Jibu Ni Kwamba aende Lumumba watampa hio pesa anayohitaji.
 
Wewe vipi unichangie songesha ya shilingi 500 inayogoma kusongeshwa wakati Ni hela kibao za songesha? Au unadhani naongelea kusongesha mamilioni? Naongelea hata nikiwa porini kusiko vocha nataka kusongesha shilingi 500 ninunue vocha Mpesa
500!? Kiroho safi kabisa naomba nikutumie 10 usiwe unapata shida ya kusongesha
 
Back
Top Bottom