Songesha ya M-Pesa ikiwa haifanyi kazi wakati mtu kiwango kinaruhusu tatizo huwa nini?

One day tolerance level may be acceptable Yawezekana but what about wiki nzima ? Unajaribu Daily haifanyi is it within tolerance level?

Songesha ni mkopo wa dharula, wiki nzima unajaribu kukopa wameona usumbufu…. hivyo wamekupuuza.
 
Godbless Lema wa Chadema anadaiwa milioni 600 per speaker 's statement madeni ndio yalimkimbiza kanada alikimbia madeni ya taasisi za fedha!!!
Sasa Mkuu unamcheka Lema kudaiwa 600m na wewe kulalamika songesha hawajakupa mkopo ununue bando ya elfu tatu...
 
Kuna muda inakua inaelemewa, miamala ya kukamilisha inakua mingi wanashindwa kumudu, mara nyingi hua asubuhi mida ya saa mbili, kuna mida ya jioni na usiku kuanzia saa mbili kasoro mpaka saa mbili na nusu changamoto hio ndo ipo sana
Ahahahahaaa...!! Hiyo mida, kwa asubuhi ni wale wa kulipa madeni ya jana na wa usiku ni wale wa hela imekata wakiwa BAR
 
Yawezekana kupata kwa Tozo kumewaathiri pia nilikuwa nanunua za Vodacom kwa wakala mwenye kale kamashine ka MaxMalipo lakini toka tozzo zipande alituambia hiyo huduma ya kuuza vocha ameisimamisha .Ilinipa shida mtaani huwezi pata vocha za elfu tano au elfu kumi nyingi Ni za elfu moja Mona Sasa imagine ununue vocha za elfu kumi na tano ukae uanze kukwangua moja moja na kuziingiza zote 15 ndio maana nilikuwa napenda zaidi kununua kwa wakala wa MaxMalipo unalipa tu chap vocha inaingia kwenye simu na nikiwa maporini mashambani kusiko na huduma za Mpesa nilikuwa nasongesha tu chapchap vocha Hilo


Tozo naona kupanda watakuwa wanaona faida hamna hivyo waweza kuwa wamesomimisha kimya kimya songesha.Ila hawataki kusema hadharani
 
Back
Top Bottom