Songesha: Special Thread

Songesha: Special Thread

Mhh sio kwmaba mkopo huwa ni asilimia 10? Laki moja riba yake ni elfu 10 , au ni kwenye hisa zetu tunachanganya?
Kausha damu huko mitaani hawazingatti hizo sheria mkuu,kumbuka wewe ndo mwenye shida. Mimi nkikwama kabisa ni bora nibebe zangu Huko kwenye simu..Tigo nivushe naweza kubeba hyo Amount
Screenshot_20260311_095310.jpg
 
Kausha damu huko mitaani hawazingatti hizo sheria mkuu,kumbuka wewe ndo mwenye shida. Mimi nkikwama kabisa ni bora nibebe zangu Huko kwenye simu..Tigo nivushe naweza kubeba hyo Amount
View attachment 3556304
Tigo huwa wanakopesha zaidi kuliko voda! Voda the moment umesongeaha ndio utakapoanz akujuta kuna makato ya kila siku na riba zake kila unavyochelewa riba inapanda😅 unakopa laki in few weeks unajikuta umelipa 130! Mi najikopea zangu kwenye hisa tu nalipa taratibu mwaka mzima! Sema usizidishe mikopo tu bora ukope sehemu moja au mbili zikizidi unakuwa na hasira hasira tu muda wote🥹
 
Wana ile huduma ya mpawa ile sio powa riba kubwa sana
 
Lakini huwezi linganisha na kausha damu wa mitaani ambao ukichukua laki moja wanataka uwape laki moja na 40 ndani ya mwezi mmoja
Hivi inakuaje mtu unakopa vipesa vidogo hivyo?kwa nini usijilipue tu ukope mapesa mengi then uingie mitini?
 
Mpawa sikuhizi ina riba? Bora mgodi wanakopesha na hakuna riba! Ila ndio ukikaa muda mrefu wanakukata ukiweka tu pesa, kuna siku nilikatwa kama nilie na nilikuwa natakiwa kufanyia kitu ile pesa🤦🏽‍♀️
migodi
 
Dumia inakwenda kwa kasi sana. kule vijijini ukienda kwenye kiduka cha mtaani kuna sukari ya 300 imefungwa kwenye kifuko kama kile cha karanga ya 500 au 200
 
usihangaike mjini mikopo kama yote.

kuna Nipeboost ni mkopo mpaka Sh 153,547.Piga *150*49#

https://bit.ly/45kXfBd.Msaada piga BURE 0800782701

yaani acha kabisa. hii ni kwa watumishi wa umma pekee wenye Akaunti za mishahara.

japo sijui kama na watumishi wa private sekta wanaochukua mshahara benk flan. sijui
 
Mpawa sikuhizi ina riba? Bora mgodi wanakopesha na hakuna riba! Ila ndio ukikaa muda mrefu wanakukata ukiweka tu pesa, kuna siku nilikatwa kama nilie na nilikuwa natakiwa kufanyia kitu ile pesa🤦🏽‍♀️
Pole ila hii iliwahi kunikuta na mie nilipiga yowee kuna mwana nilimwambia anirushie elfu 40 yote ilipigwa panga shwaaa
 
Back
Top Bottom