Bila shaka huduma ya mkopo kutoka YasSongesha ndio nini?
Hivi ndio inaitwa songesha? Sidhani kama wanatumia jina hilo.Bila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas
😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopeshaSongesha ndio nini?
Sikuwa nikiifahamu hapo kabla, mpaka jamaa aliponiambia ni huduma ya mkopo toka yas..unaijua sana
Mie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu.😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha
Kutoka VodaBila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas
Sawasawa ni huduma ya mkopo wanaMie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu.
Mpaka 1M ila commission inaumizajuzi juzi nilishangaa kumbe watu wanasongesha hadi 500k, sijaamini
Asizuge huyounaijua sana
Lakini huwezi linganisha na kausha damu wa mitaani ambao ukichukua laki moja wanataka uwape laki moja na 40 ndani ya mwezi mmojaAijawai kuwa nzuri makato yako juu ao ndo wananufaika zaid
UsiKOMPLIKETI maishaondoa neno yas hapo hatutangaz biashara mkuu
Ngoja nisake laini ya voda, niishi nao.Sawasawa ni huduma ya mkopo wana
Songesha
Nipige tafu
Chomoka mkopo wa mafura
Mpawa unalipa monthly