Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

ninapotaka mimi ni hapo tu,ninapotaka mimi ni hapo tu,iiiiiiii,hapo ndio,umepataka mwenyewe?hapo ndio,wangoni tuseketule,seketu sekeketu seketu.....................hao,watani wangu wangoni.hivi kuna prof,ni mngoni,na kama wapo,wapo wangapi?
 
BabaDesi
angoni arms sasa hivi imepoteza umaarufu halafu imechoka sana ila lami saiv zipo sehem nyingi za mji,shule ya mfaranyaki ipo ila imegawanywa upande mmoja ni mfaranyaki primary na upande mwingine ni kawawa primary school.....picha nitatuma mkuu uione shule yako
 
Last edited by a moderator:
Maeneo ya mahenge unaweza ukapata sukari ya sh 200 unakunywa chai vizuri kabisa
 
Home sweet home,nimepakumbuka sana songea ngoja nirudi next month
 
BabaDesi nimejaribu kupitia hayo majina naona hujaliweka jina la Alhaji Moustapha Songambele au humkumbuki kabisa
 
Last edited by a moderator:
Babadesi kuhusu rashid kauza ni marehem sasa hivi mbona kwenye majina yako ujamtaja msemwa,abdala ally,vers
 
Koto kuvakonga vandu.....

dadi unihekisi sana....mweeh!!!
smiley.jpg

 
Mwaka uliopita nilienda songea toka moshi ilikuwa safari ndefu sana kwan ilinilazimu kulala dar. Nilipofika niligundua vitu ni bei rahisi Ambalache gesti house nilipata chumba cha self kwa bei nafuu, msosi pia bei chini nilienjoy sana wakat wa kurudi tofauti na wakati wa kwenda ila kule kwa upande wa maendeleo na miundo mbinu ni ya hali ya chini
 
...Wakuu Mwanachama Halisi na Buster, Mimi nilisoma hapo Mfaranyaki P/School darasa la 6 na 7 mwaka 1973 na 1974. Hayo majina niliyotaja hapo asilimia kubwa ni classmate wangu pale Mfaranyaki na mengine ni ya wanafunzi wa zilizokuwa shule jirani za Majengo na Majimaji ambazo pamoja na Matogoro.

Luhira na Ruhuwiko ambazo tulikuwa tukishindana nao kwenye kwaya, mpira na ngoma wakati mashindano kusherekea sikukuu za Uhuru, Mapinduzi, Muungano, May Day, Sabasaba nk, si unajua tena sikukuu hizi na michezo mashuleni vilivyopewa kipaumbele nyakati zile.

Namkumbuka sana Mzee Songambele, mtoto wake mmoja Selemani tulikutana timu ya shule pale Shinyanga Sec 'Shybush' nilipohamia pale 1976 nikiwa form 2 yeye akiwa form 4.
 
angoni arms sasa hivi imepoteza umaarufu halafu imechoka sana ila lami saiv zipo sehem nyingi za mji,shule ya mfaranyaki ipo ila imegawanywa upande mmoja ni mfaranyaki primary na upande mwingine ni kawawa primary school.....picha nitatuma mkuu uione shule yako

...Ninakushukuru Sana mkuu Ney Kush kwa taarifa hizi na nitashukuru zaidi mno kwa Picha...
 
Posta na gereza bado zipo pale2......had mpambalyoto kuna rami siku hizi....karibu tena Songea uone mabadiliko
 
BabaDesi Hizo picha ni baadhi ya maeneo km jimbo kuu la songea, ilipokua kauru na maeneo ya stendi ya zaman km bar ya golani na hotel ya ugabe......nazani wadau wengine watakupa picha zaidi.
 

Attachments

  • 1433435940192.jpg
    1433435940192.jpg
    72.1 KB · Views: 317
  • 1433435973786.jpg
    1433435973786.jpg
    58.1 KB · Views: 297
  • 1433436004597.jpg
    1433436004597.jpg
    84.1 KB · Views: 299
  • 1433436044075.jpg
    1433436044075.jpg
    77.4 KB · Views: 288
  • 1433436083236.jpg
    1433436083236.jpg
    81.7 KB · Views: 329
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom