Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

Kuna nyama choma, bia baridi na viburudisho vya kutosha ?
 
Cha kusikitisha wanasongea wanauza Ardhi kwa Kasi sana kwa wageni hasa zile sehemu za Asili maeneo ya Hanga,Likuyufusi,Litapwasi yaan sijui itakuwaje
 
Tatizo kubwa la watu wa Songea wenye elimu na wasio na elimu ni malimbukeni. 90% wamezarau kwao kwa hiyo wanaume kwa wanawake wote wanaolewa sehemu nyingine na hii ni laana ilianzia kwa kina Kawawa. Mngoni ni mtu wa ajabu sana wengi hawajielewi tunawaona kila siku wanapoowa huwa wanakabidhiwa viwanja vya kujenga na baba Mkwe. Kisa kapata kaunafuu flani ka maisha baada ya kusomeshwa kwa taabu na wazazi wake masikini. Hata ww uliyeleta mada hii inawezekana ni walewale.
 
Mtileki.......
 
Nilikutana na pombe inayotengenezwa kwa maembe pori(ng'ongo),ukinywa leo usiku kesho yake ukinywa chai au ukiota moto unalewa upyaaaa,Chipole hiyo.

kwi kwi kwi kwi kwi kwi mkuu you made my day mimi huko kwetu sema sijawai kufika nyumbi hii bombiii
 
Nahimisi Songea ila nahimisi sana Tunduru!!! Kila nikikumbuka ngoma ya Chitoto na Tomatoma enzi hizo nikiwa mdogo kabisa miaka ya 90...machozi yananitoka. Daah I miss my home town Ruvuma.
 
Karibuni Songea Mji wakitalii

1. Kuna matuta makubwa ya barabarani tanzania nzima (bumps) yapo bombambili ambapo kabla ya
kufika Songea mjini lazima ukutane nayo.

2. Kuna pikipiki nyingi kuliko watu.

3. Kuna matunda mengi ya kipekee kama madonga, masuku, mfudu, mbula, mamvubula na mengine mengi.

4. Kuna mboga nyingi za kipekee kama Mangaukau, linamfusulela, chikandi, likungu, kipele,
mangatungu n.k

5. Majina mengi ya watu wake ni ya wanyama mfano Komba, mapunda, mbawala, tembo,
simba (Kahimba), Nungu, Nyoka, Matembo, Ngonyani, Nyati, Kobe n.k

6. Pia kuna ngoma nyingi mf. Madogoli, beta, zilanga, ligambusa, kihoda, mganda, lindeku,
Mandilo, Chomanga, Tumba, Puyanga.

7. Bila kusahau Dagaa watamu sana (Nyasa) na viazi vitamu kuliko vyote vinavyojulikana kwa jina
la makaba.

Hiyo ndiyo SONGEA yetu, Mji uliobarikiwa, Chezea Songea yetu weye.

Mkuu,umenikumbusha mbali sana tena sana! Nakumbuka miaka ya 94 hadi 98 nikiwa natokea bording Kigonsella sec. Kwenda Tunduru(nyumbani) kwa hajili ya likizo. Nimezaliwa Peramiho hospital ila baadae tulihamia Tunduru na nikarudi tena Songea kwa masomo ya Secondary...Kigonsella secondary school. Daah naimiss Songea jamani.
 
mimi nipo ligera naelekea lusewa kwa mzee wangu wa siku nyingi Ali Chitenje. nikirudi nafikia mgombasi na mtimbati maji kula mandondo
 
mimi nipo ligera naelekea lusewa kwa mzee wangu wa siku nyingi Ali Chitenje. nikirudi nafikia mgombasi na mtimbati maji kula mandondo

Khamis ntenje, Ngonyani madevu, likokwe, mganga mkuu, nkondora, kantero a.k.a mango, manoti, che ways, mzee kwizombe, mwakiboso, jongo, mzee haji, liundi... Daaah unawafahamu hao
 
songea kuna piki piki nyingi sana...ila pazuri
 
ninapotaka mimi ni hapo tu,ninapotaka mimi ni hapo tu,iiiiiiii,hapo ndio,umepataka mwenyewe?hapo ndio,wangoni tuseketule,seketu sekeketu seketu.....................hao,watani wangu wangoni.hivi kuna prof,ni mngoni,na kama wapo,wapo wangapi?
maprof wapo niwajuao ni prof. Mpangala na prof. Mihanjo, tangibly
 
karibuni songea mji wa kitalii:

1. Kuna matuta makubwa ya barabarani tanzania nzima (bumps) yapo bombambili ambapo kabla ya
kufika songea mjini lazima ukutane nayo.

2. Kuna pikipiki nyingi kuliko watu.

3. Kuna matunda mengi ya kipekee kama madonga, masuku, mfudu, mbula, mamvubula na mengine mengi.

4. Kuna mboga nyingi za kipekee kama mangaukau, linamfusulela, chikandi, likungu, kipele,
mangatungu n.k.

5. Majina mengi ya watu wake ni ya wanyama mfano komba, mapunda, mbawala, tembo,
simba (kahimba), nungu, nyoka, matembo, ngonyani, nyati, kobe n.k.

6. Pia kuna ngoma nyingi mf. Madogoli, beta, zilanga, ligambusa, kihoda, mganda, lindeku,
mandilo, chomanga, tumba, puyanga.

7. Bila kusahau dagaa watamu sana (nyasa) na viazi vitamu kuliko vyote vinavyojulikana kwa jina
la makaba.

Hiyo ndiyo songea yetu, mji uliobarikiwa, chezea songea yetu weye.
umesahau kuutaja mto lumbegea maji meupee mwaka mzima.
Pia mulanzi mtamu hupatikana utwango na namabengo
 
nahimisi songea ila nahimisi sana tunduru!!! Kila nikikumbuka ngoma ya chitoto na tomatoma enzi hizo nikiwa mdogo kabisa miaka ya 90...machozi yananitoka. Daah i miss my home town ruvuma.
kwenye ngoma ushakunywa pombe inayoitwa yaukwaya....dizani inapikwa kwa mihogo
 
Tatizo kubwa la watu wa Songea wenye elimu na wasio na elimu ni malimbukeni. 90% wamezarau kwao kwa hiyo wanaume kwa wanawake wote wanaolewa sehemu nyingine na hii ni laana ilianzia kwa kina Kawawa. Mngoni ni mtu wa ajabu sana wengi hawajielewi tunawaona kila siku wanapoowa huwa wanakabidhiwa viwanja vya kujenga na baba Mkwe. Kisa kapata kaunafuu flani ka maisha baada ya kusomeshwa kwa taabu na wazazi wake masikini. Hata ww uliyeleta mada hii inawezekana ni walewale.

mmh!! wee wamdese.

smiley-says-no.jpg
 
Back
Top Bottom