ZigiZaga
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 942
- 1,057
Fisadi mamako wewe! Unaita mwanaume mwenzako fisadi kisa utajir wake! Hacha wivu wa ki.senge weweFiskiss ni yule mliyempa kugombea 2015...msijidai mmesahau ...tutawakumbushia hadi mumteme.
Fisadi mamako wewe! Unaita mwanaume mwenzako fisadi kisa utajir wake! Hacha wivu wa ki.senge weweFiskiss ni yule mliyempa kugombea 2015...msijidai mmesahau ...tutawakumbushia hadi mumteme.
Sasa kampeni za nini wakati mgombea wa CCM ameshapita bila kupingwa?!!Kuna wagombea kutoka vyama vinne vya upinzani ikiwamo CUF na NCCR
yule ni chizi mmoja apuuzweNilisoma juzi kwa dada yule wa US eti mmewatangazia wananchi kuja kuchukua ID za urai katika huu mkutano.
Je,ni kweli au si kweli?
Harudii tena kujitoa akiliFisadi mamako wewe! Unaita mwanaume mwenzako fisadi kisa utajir wake! Hacha wivu wa ki.senge wewe
Nenda ukatubu wewe pamoja na genge lako msisahau na kuvua hiriziNi mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
mtoa post umeniudhi kitu kimoja tuNi mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Kwani mgombea wa CCM anashindana na nani?!