Songea: Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge CCM

wewe mtoa post mafuriko yapo wapi ngoja niende nikapige picha halafu niwawekee muone nmavyoaibika hakuna watu wamesusa kwenda mpo wenyewe kutoka kwangu matarawe mpaka lizaboni cio mbal dk10
 
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Nenda ukatubu wewe pamoja na genge lako msisahau na kuvua hirizi
 
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
mtoa post umeniudhi kitu kimoja tu
"hujaweka neno dkt.mwigulu nchemba huyo ni faru 2025 anatoshaa
 
Kwani mgombea wa CCM anashindana na nani?!

Huu uchaguzi wa marudio umekuwa kama disco la watu wa jinsia moja. Pata picha umeingia ndani ya disco unakuta ni wanaume watupu au wanawake watupu. Halafu unakuta wanashangalia na kuruka ruka. Kama ccm inadhani ina mvuto na inakubalika basi ijipime kwenye uchaguzi huu ndio itapima ni watu kiasi gani wanajitokeza kwenda kuwashobokea.
 
Hahahaaaaa uzinduzi was kampeni leo wakati uchaguzi upo tar13 cjui mwez huh Sasa cwajitangaze tu chapchap wanapotezea raia was ccm muda tu
 
Back
Top Bottom