Songea: Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge CCM


ZigiZaga

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
835
Likes
560
Points
180
ZigiZaga

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
835 560 180
Fiskiss ni yule mliyempa kugombea 2015...msijidai mmesahau ...tutawakumbushia hadi mumteme.
Fisadi mamako wewe! Unaita mwanaume mwenzako fisadi kisa utajir wake! Hacha wivu wa ki.senge wewe
 
Fdt

Fdt

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Messages
444
Likes
134
Points
60
Fdt

Fdt

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2015
444 134 60
wewe mtoa post mafuriko yapo wapi ngoja niende nikapige picha halafu niwawekee muone nmavyoaibika hakuna watu wamesusa kwenda mpo wenyewe kutoka kwangu matarawe mpaka lizaboni cio mbal dk10
 
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
1,306
Likes
1,209
Points
280
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined Jun 20, 2017
1,306 1,209 280
Nilisoma juzi kwa dada yule wa US eti mmewatangazia wananchi kuja kuchukua ID za urai katika huu mkutano.

Je,ni kweli au si kweli?
yule ni chizi mmoja apuuzwe
 
Alonso14

Alonso14

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Messages
1,809
Likes
1,729
Points
280
Alonso14

Alonso14

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2017
1,809 1,729 280
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
Nenda ukatubu wewe pamoja na genge lako msisahau na kuvua hirizi
 
yeddy guyy

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Messages
599
Likes
382
Points
80
yeddy guyy

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2015
599 382 80
Ni mafuriko. Watu wanasema inasubiriwa tu siku ya kwenda kutumia vichinjio vyao wakamalize kazi...wakampe kura za ndio mgombea wa CCM Daktari wa sheria Damas Ndumbaro... Tukio liko live hapa kata ya Lizaboni. Ni shidaaaaa CCM ni nomaaaa.
Mgeni rasmi ni Mwigulu Madelu Lameck Nchemba. Fuatilia Uzi huu
mtoa post umeniudhi kitu kimoja tu
"hujaweka neno dkt.mwigulu nchemba huyo ni faru 2025 anatoshaa
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
15,620
Likes
19,648
Points
280
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
15,620 19,648 280
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,188
Likes
2,674
Points
280
Age
29
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,188 2,674 280
Hahahaaaaa uzinduzi was kampeni leo wakati uchaguzi upo tar13 cjui mwez huh Sasa cwajitangaze tu chapchap wanapotezea raia was ccm muda tu
 
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,188
Likes
2,674
Points
280
Age
29
usatrumpjr

usatrumpjr

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,188 2,674 280
Huu uchaguzi wa marudio umekuwa kama disco la watu wa jinsia moja. Pata picha umeingia ndani ya disco unakuta ni wanaume watupu au wanawake watupu. Halafu unakuta wanashangalia na kuruka ruka. Kama ccm inadhani ina mvuto na inakubalika basi ijipime kwenye uchaguzi huu ndio itapima ni watu kiasi gani wanajitokeza kwenda kuwashobokea.

cc: jingalao, hugochavez, Humphrey Polepole, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba
Bora wadada wanaweza bambiana aseee Ila wakaka hawawez
 

Forum statistics

Threads 1,251,306
Members 481,636
Posts 29,765,959