Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

Songea mwanza via dar haiwezi kuwa biashara viable , tayari ana basi za songea dar , na kuna ushindani mkubwa sana dar mwanza
mkuu wenzako wanachepukia dodoma kwenda upande ule dar wafate nini mikoa ya iringa njombe mbeya ruvuma kuna fursa sana watu wamehamia upande huo
 
Hukunielewa vizuri , nilichmaanisha ndio hicho ulichokisema
 
Super feo ni habari nyingine ana uthubutu kaanzisha route nyingi sana afu wengine wanafuata nakumbuka kipindi nasoma Dodoma nilikuwa napata shida kuunganisha magari kwenda home Mbinga kama kupitia Morogoro au Iringa then nipate gari ya Songea ila mbabe akatuanzisha route ya mojamoja toka Dom mpata Songea town ndipo wengine wakaona fursa.
Umenikumbusha enzi niko msalato,ilikuwa inanibidi mpka nifike dar ndo niende songea. Niliona wivu sana baada ya kumaliza shule naona et dodoma - songea, naipenda sana super feo kwanza wanajari wateja. Siku izi nimesafiri sana na selous kutoka mbeya to tunduru
 
Chunya-mbamba bay

Screenshot_20220306-123331.jpg
 
Songea to Moshi Ile DWR n nyoko nilikuwa maeneo flan Arusha mida ya saa tano usiku naona kitu Super Feo hcho kwa ukali baada ya Kama dk 20 naona Kimotco ya Njombe hyoo nikajiuliza Sasa huyu kachaniwa wap wakati kwanza safari 200km Zaid kabla ya Super Feo njian DWR inaumwaga Sana.
 
Yaani dar songea chuma iliingia saa mbili hadi mbinga ni saa nne na nusu,,,,,wakati dar mbinga inaingia saa 7/8 super feo now wapo vizuri
 
Dar Songea ukipitia njia ya huku kusini Lindi /mtwara sio mbali sana na hakuna msongamano wa magari kama ukipitia hii ya kati, moro,iringa, njombe.
 
Ukipita lindi kwenda songea ni mbali zaidi kwani zinaongezeka kilometer kalibia 100 tofauti na njia ya iringa. Sema njia ya lindi ni tambalale milima unakuja kuikuta mchomoro huko wilaya ya namtumbo
 
Kule hakuna foleni kama njia ya huku kati.

Unawahi kufika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom