Songea ni moja ya mji ninaohusudu

Songea ni moja ya mji ninaohusudu

Songea Kuna baridi mkuu yawezekana kipind ulichoenda ulikuwa msimu wa baridi umeisha.. Unapotaja kote ni nyanda za juu kusini kunakuzidiana barid ila sio kwamba Songea hakuna baridi fanya research yako tena
Nimekaa songea 2017-2021 baridi ya songea ni kawaida ndo maana nikasema hali ya hewa ya kawaida. Binafsi sisemei kama kuna baridi kwasababu nimekaa mafinga ,njombe,mbeya,iringa nk
 
Huu mji na wish niutembelee siku moja... Nilianza kuvutiwa nao baada ya kusoma kitabu cha wreath of father Mayer.
Utaanza kufaidi advanture toka unatoka DSM nakushauri safiri mchana ufaidi ardhi zuri tuliyobarikiwa na M/Mungu.
 
Kimaendeleo Songea wanakuja na comeback la maana na hayo makaa ya mawe ni noma panakua sana
 
Habari wakuu.

Ni miaka 5 sasa imepita tangu mara ya mwisho kuwepo katika mji wa Songea,ukweli ni moja ya miji midogo Tanzania ambao ulinivutia sana na kupenda maisha ya pale. Nimewahi ishi miji kadhaa kwa nyakati tofauti kama Mtwara mjini,Mafinga mjini,Njombe mjini,Mbeya Mjini,Tanga mjini nk. Ila songea ni miongoni mwa mji wa pekee niliopenda sio kwa majengo bali aina ya maisha ya pale.

1. Mji umepoa hakuna vurugu
2. Vyakula bei chee sana tena vingi vya asili
3. Kodi ya pango bei kitonga mno
4. Hali ya hewa sio baridi wala sio joto
5. Kuna mazao mengi ya biashara ukiwa mchakarikaji unapata cha kufanya(nimewahi uza dagaa nyasa).
6. Wenyeji wakarimu na wanapiga kazi sio wavivu kama Tanga,Mtwara.
7. Watu wa Songea wana heshima sana sio mtoto wala mkubwa.
8. Safari yake ina advanture kubwa na inavutia.

Madhaifu
1. Mji bado mdogo hauna maendeleo ya majengo mazuri
2. Sehemu ya starehe chache
3. Mzunguko wa hela kwa mjini mdogo ila ukiwa unasafirisha bidhaa utapata pesa.
4. Kuna vumbi sana
5. Nyumba nyingi ni chakavu sana

Waliokuwa Songea wekeni comment hapo je kwasasa mji upo vipi?
Ukitaka k vipi zinapatikana?
 
Pussies ni chache na zinazo patikana zipo chini ya kiwango.
 
Back
Top Bottom