Songea boyz box 2 group la WhatsApp from 1950-2017

Duh nimepita hapo 2004- 2007 hahaa nimejifunza mengi sana iyo shule
 
Mayai
Milango Tisa
Binti bullu
Madishi
Bila kusahau wanyama(chawa )hahaa
 
Maji yalikuwaga shida kipindi flan shadufu imekufa tunaenda chota maji mtoni yanavyura dah yale maisha aseh

Mayao tulikuwa tu nanunua sh 10 sahani ya wali 250/=

Nimeenda sana bustani chunga sana ng'ombe tulikuwa tunaenda na chupa zetu tunakamua maziwa tunajaza tunaficha tukirudisha tunapewa tena hahaaaa
 
Back
Top Bottom