Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

Tinted zipigwe marufuku
Tinted ina hasara zaidi kuliko faida...! Tinted aghalabu utuhumiwa mara nyingi na matraffic na wakaguzi wengine wa usalama njiani!
===
Kuhusu tukio siwezi ku'comment', mpaka lidhibitishwe na vyombo vyetu vya usalama.
 
Hahaa kwamba ukiishi jirani na names kama Mapunda, Mwingira,Chawe, Komba et al usiwaamini kabisa [emoji12]
Hata wanawake nao bakora [emoji8] unaweza ukala kuku, mayai, vifaranga, kitagio [emoji23]
Akikukataa una kimavi!
5852dd82394e280271f3b48b.jpg
 
kwenye jinsia ya ke group la kwanza kufanya ngono zembe ni 1. wake za watu
2.watoto wa chuo
Kwa wake za watu huona kitu cha kawaida kumwacha tu mkewe anajua ni mkewe si lazima kumnyandua hivyo mke akidiwa ni kutoa mgao tu hakuna namna
 
Apo ndo unakuta ulimwachia fundi gereji akutengenezee..lahaulaa atainya iyo gari
 
Hasira hasara, hasa ukichukua sheria mkononi na ukajulikana lazima utajua kwa nini Diamond kaimba haleluya.

Hapo unashitakiwa kama kawaida maana huo ni uhalifu wa kiwango cha ujambazi.

Mke wa mtu sumu.
Kama ni mkewe halali hana kosa hata kama unaona amechukua sheria mkononi. Kesi kama hizi uhukumiwa kwa kusimama katika nafasi ya mtendwa. Pamoja na sheria lkn tunazingatia miiko na tamaduni zetu.
 
Hata kama una evidence mzigo umezamishwa na umenasa picha? Basi sheria haitakuwa fair
Tafuta katiba uisome. Kosa linalotambulika ni la kubaka na kulawiti.
Fumanizi sio kosa kwani hakuna anayemmiliki binadamu mwenzake!
 
Back
Top Bottom