born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
Mkuu ile Camera yako uliyoibiwa kule Tabora kwenye harusi ya Kayombo uliipata?Sijawahi kula mke wa mtu
Nauliza tu
Mkuu ile Camera yako uliyoibiwa kule Tabora kwenye harusi ya Kayombo uliipata?Sijawahi kula mke wa mtu
Kaa chonjo..pesa itafika lakini [emoji196] utasikia tu...Hahaa kwamba ukiishi jirani na names kama Mapunda, Mwingira,Chawe, Komba et al usiwaamini kabisa [emoji12]
Tunaaminika kabisa sisiHahaa kwamba ukiishi jirani na names kama Mapunda, Mwingira,Chawe, Komba et al usiwaamini kabisa [emoji12]
MnatusingiziaKaa chonjo..pesa itafika lakini [emoji196] utasikia tu...
Utupe feedback ya huko maana mke wa mtu ni simuHahaa nitakuachia pesa unifikishie sio dada au wife
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Mnatusingizia
Mambo ya tinted hayo
Dah kumbeTinted zipigwe marufuku
Case gani hapo...nani anashitaki.....kwa ushahidi upi.....wewe mwenye gari ndiyo useme gari yako imeunguaje?Alitumia mafuta gani kuichoma gari maana hadi engine imeyeyuka yote, je mchomaji ana case hapo au laah
Hapana, wachepukaji watabuni njia nyinginemheshimiwa vipi unadhani ban ya tinted itasaidia