Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,261
Reaction score
12,660
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

FB_IMG_1507465928006.jpg
FB_IMG_1507465944934.jpg
FB_IMG_1507465939454.jpg
FB_IMG_1507465934016.jpg
 
injini imeungua bati/boneti imebaki kama ushahidi. uzalendo kwenye hako kamchezo hakamwachi mtu salama!
 
MAGARI NI VICHAKA VYA NGONO, KUANZIA TINTED HADI VIOO VYA KAWAIDA, ZIMEGEUKA 'MOBILE G.HOUSE' KUWASHUGHULIKIA WAKE ZA WATU

NAKUMBUKA MWAKA JUZI, NILIWAH KUONA GARI TINTED IMEPAKI PEMBEZON MWA BARABARA NJE YA MJI. HALAFU LINATIKISIKA, YANI KIVYOVYOTE WALIKUWA WANASEX.

NDYO MANA AJALI NI NYING
 
Wanasemaga Cha Kwenye Gari hua kinakuaga kitamu sana maana kinakua kimekaa ki wizi wizi
 
MAGARI NI VICHAKA VYA NGONO, KUANZIA TINTED HADI VIOO VYA KAWAIDA, ZIMEGEUKA 'MOBILE G.HOUSE' KUWASHUGHULIKIA WAKE ZA WATU

NAKUMBUKA MWAKA JUZI, NILIWAH KUONA GARI TINTED IMEPAKI PEMBEZON MWA BARABARA NJE YA MJI. HALAFU LINATIKISIKA, YANI KIVYOVYOTE WALIKUWA WANASEX.

NDYO MANA AJALI NI NYING
[emoji15] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] eti inatikisika
 
Eeh,jamaa alighafilika sana..

Hawa mafundi wa magari wanatabia ya kutesea magari ya watu, ukimuachia atengeneze analikamilisha na kuanza kulitumia
 
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
Mngoni haaminiki mtaani huko waliko kimbilia angewafuata angefumania tena[emoji4]
 
Back
Top Bottom