Songea: Achoma gari baada ya kumfumania mke wake

MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
Aisee Peramiho ndio kwetu, ngoja tupeleke injili watu waokoke
 
MAGARI NI VICHAKA VYA NGONO, KUANZIA TINTED HADI VIOO VYA KAWAIDA, ZIMEGEUKA 'MOBILE G.HOUSE' KUWASHUGHULIKIA WAKE ZA WATU

NAKUMBUKA MWAKA JUZI, NILIWAH KUONA GARI TINTED IMEPAKI PEMBEZON MWA BARABARA NJE YA MJI. HALAFU LINATIKISIKA, YANI KIVYOVYOTE WALIKUWA WANASEX.

NDYO MANA AJALI NI NYING
wenye magari hawapangiwi mkuu
 
mwenye gari ni fundi wa magari na inadaiwa gari hili lilikuwa la mteja wake. sijakuelewa hapo
 
ni
MKE WA MTU NI SUMU : Anaandika Mwanahabari Albano Midelo katika Facebook yake.

UBAVUNI mwa gari hili yameandikwa maneno haya Mke wa Mtu ni sumu. Inadaiwa Mwenye gari ambaye ni fundi wa magari na hata gari hili linadaiwa lilikuwa la mteja wake ,inadaiwa Fundi huyo alikuwa anachepuka na mke wa mtu,Mwenye mke hivi karibuni alitega mtego na kudaiwa kufanikiwa kumkuta na mke wake wakiwa ndani ya gari hili katika eneo la Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Inadaiwa Baada ya kufumwa wote wawili walikimbia na kuliacha gari ndipo mwenye mke aliamua kuliteketeza gari hili kama unavyolioona.Mashuhuda wa tukio hilo wamesema tukio limetokea siku chache zilizopita. Tukio hili bado halijathibitishwa na RPC.

My take: Siku nyingine ukibambwa wanakukata kidudu acha kula wake za watu.

View attachment 604570View attachment 604571View attachment 604572View attachment 604573
nimecheki kule facebook kwenye acc ya huyo midelo ......habari inajichanganya na kama wanaanza kutajana nimeona jina la mmiliki wa gari..... sasa kama kuna debate vile
 
kwenye jinsia ya ke group la kwanza kufanya ngono zembe ni 1. wake za watu
2.watoto wa chuo
 
MAGARI NI VICHAKA VYA NGONO, KUANZIA TINTED HADI VIOO VYA KAWAIDA, ZIMEGEUKA 'MOBILE G.HOUSE' KUWASHUGHULIKIA WAKE ZA WATU

NAKUMBUKA MWAKA JUZI, NILIWAH KUONA GARI TINTED IMEPAKI PEMBEZON MWA BARABARA NJE YA MJI. HALAFU LINATIKISIKA, YANI KIVYOVYOTE WALIKUWA WANASEX.

NDYO MANA AJALI NI NYING
Has a Noah viti vikikunjwa yani ni kitanda
 
Back
Top Bottom