Songa ndiye emcee bora tamaduni music

namkubali sana songa na yuko vizur kwa punch line but sidhani kama anauwezo wa kumfikia zohan a.k.a baba malcom
Hivi TAMADUNI MUSIC huwa hawafanyi hip-hop battle hapo KILINGENI..!?
NOT to prove who is the best among them,ila kama sehemu ya kuongeza burudani kwa sisi tunaowashabikia...
kifupi TAMADUNI MUSIC haina mcee MBOVU aisee...
Coz hawa jamaa ukiwasikiliza toka MOKO wa MIUJIZA mpaka BABA MALCOM utatamani kila anayeingia asimalize kuchana..!
 
Hyo ngoma ni nyoko inaitwa Kwa nn mm aseee Kuna watu wanajua bana


kweli Manzi Amenona, Ila Mbona Ana konakona kama mafikizolo ,
Vp Nitaweza pona,
Akina Macho kuona, Wameshona Kwenye Kona,
Ukikoroma, Goli la mkono Design ya Maradona
Wanga Wameshatanda, Ukipata Viza Pasua Anga

Hizo flow Zake Ni Vumbi mwanzo Mwisho! saluti kwa Mbishi.. Becka Nae Kasuka Kiitikio ni hatari

Nikki Mbishi Ft. Becka Tittle |kwanini mimi

BANGO
 
Mi ndo stereo Singasinga maradona / sijulikani wapi Mara sinza mara boma
 
Sera kazi nikisema sera hakuna kisela biashara ni sera weka wazi / nikisema ukweli masela wananiita msela mavi - One Incredible
 
Binafsi Sijaona ukali wa huyu chalii, na inaonekana ana msikiliza sana masta ace..
Maana mikato ni ile ile na I hate copy cats.
 
nadhani.mnaomkubali songa mpaka leo kwa nyimbo anazoimba siku hizi mtakua mmerogwa si bure...mnaesema ni hiphop mwangalieni tena kwa umakini anachoimba
 
Tena One The Incredible ni SURVEYOR ....graduate wa Ardhi.... Niki wa pili anafanya/anamalizia Masters.... Mike T kamaliza CBE anapiga mzigo, BLACK RHYNo kamaliza mzumbe BBA.... BONTA ni dokta hapo Kahama... ....EMBU NTAJIE WA5 TU WA MIZIKI YENU YA KULILIA NGOLOLONGOLO.... Mwenye hata Diploma..... Hip Hop mpaka uisikilize uilewe unahitaji kichwa chenye uwezo ...na mistari ushairi wake ni hali ya juuu.....
Tatizo hawataki mziki wa kufikilisha,moko mashairi yake ni zaidi maarifa.
 
EMCEE bora kabisa toka tamaduni music...
Tanzania ina Maemcee wa hatari bhana...

maxresdefault-jpg.366102
Tafuta nyimbo ya one incredible inaitwa mtanganjia, ndo utaelewa..
Hapo fundi ni moko wa miujiza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom