Kwel we Mpunga.Fahari ya macho kuona mida hii
Watoto hatareeee hawa !
Mkuu tafadhali sana nawezaje kuipata hii video?
Ustaadhi umefuata nini mitaa ya huku? Ungeishia kusoma kichwa cha habari tu ukaishia zako atiii.Mjue watu tumefunga mtatufurisha sasa