Somo kwa wote (pitia hapa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somo kwa wote (pitia hapa)

Discussion in 'JF Doctor' started by cement, Jul 6, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tarehe 12/06/2012 nilipima maalaria nikawa nayo 4,nikapewa dawa za kutumia Atequick (spelling not sure)hazikunisaidia kwani baada ya kumeza nikawa najisikia vibayaa sana tumboni mpk trh 24/06 nikarudi hosp nikashauriwa nipiwe choo nikakutwa na minyoo.Nikapewa Arbendazon nikatumia siku tatu!lakini tumbo halikutuliaa likawa linauma sana nikarudi hsp mara nyingine nikapewa Erthromizine+Snidazone

  Hapa ndo shida ilipoanzia nilikuwa nakula na shiba vzr sana na kula na matunda maji kwa wingi tatizo moyo kwenda mbio kukosa pumzi usiku yaani ikawa zaidi ya ugonjwa.
  Nikashauriwa niende hosp kubwa nikaenda pale Mnazi mmoja nikacheki full blood picture ikawa safi,hakuna malaria wala typhode nikaambiwa dawa nilizopewa kwa awamu ya pili ni kali sanaaaa na hata zile za malaria sio nzuri kabisa!nikaambiwa niache dawa zote hz ss hv natumia Vitalcap+Cipro naendelea vizuri dawa za awali sema vimeniletea aleji kwenye koo pana bana japo daktari wangu kaniambia itakwisha hali hii


  Ushauri kwa wote tuwe makini na afya zetu hizi hosptali binafsi zinatuua bila kujua sitaki niseme hii hosp nii kubwa sana na ina aminika kweli hapa Dar
  Tuwe makini kabla ya kuanza kumeza dawa!
   
 2. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Thanks for info na Pole sana Mungu atakusaidia utapona.
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Itaje hiyo hospital utasaidia wengi.
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu. lakini ni bora uitaje hiyo hosp.
   
 5. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Itaje hiyo hospitali kama kweli unataka kutuelimisha. jitahidi mkuu itaje si unajuwa hapa ni ''where we dare to talk openly''?.
   
 6. A

  ADK JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,159
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Umenena vema mkuu hosp kama hizo zipo nyingi hapa dar sasa we kwa kusadia jamii we itaje hiyo hospital
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  pole sana mkuu
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Bila shaka ulitibiwa na dokta Uli.
   
 9. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  itaje Hospital.
   
 10. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana Bro na Aksantekwa taarifa.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kutusaidia vizuri.....taja hospital....
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hakuna malaria 4, hilo tu linanionyesha kuwa hospitali hiyo ni fake. Ingelikuwa mimi nikaona ameandika malaria 4, nisingelirudi nyuma. Sidhani kama kweli alipitia field ( na mambo mengine ya kitaalamu) zinazipendekezwa kabla ya kuandika hizo 4!!!!
   
Loading...