mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Bora umeligundua hilohamna kitu ni kapga picha tu huyo
Bora umeligundua hilo
Hahaaa maisha yamekuwa tight best....kucha kutwa nakimbizana na shilingi!inaonekana kabsaa
pole na safari lakin maana mpoteano umekuwa m big
hahahaHahaaa maisha yamekuwa tight best....kucha kutwa nakimbizana na shilingi!
Mzima lakini popo mwenzangu?
Kasema somo kwa wadada wa mjiniiiKwan unadhani huko vijijini TZ wadada hawachungi ng'ombe?? Miguu ikusaidie..
utaniua mbavu kwa cheko! Kwani wewe pia ni katibu wa chama?hahaha
pambana mama nakuaminia.
am cul, nilitumwa India kutibiwa kwa siku 23 sasa nimerud
hahahautaniua mbavu kwa cheko! Kwani wewe pia ni katibu wa chama?
Umepona lakini? Maana hayo matibabu ya kutumwa mmmh!