Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,941
- 157,253
una akili weweNjia pekee ya kumchuna Mwanaume ni.
Nakuhakikishia hautamchuna bali atajichuna mwenyewe na kukupatia nyama/Pesa.
- Kumjali
- Kumpa mapenzi matamu na upendo wa kweli
- Kuwa msafi na Kumpikia chakula kitamu