Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

njia rahisi sana kumkataa mwanaume anayekutongoza ni kumpiga mzinga, we kama hutaki call na sms zake mara kwa mara usipate shida kujieleza, piga mzinga tu tena wa maana ikatokea kakupa piga tena mkubwa zaidi trust me, baada ya wiki atakata mawasiliano na kuja kufungua uzi JF na kulalamika kwa what app groups kuwa wanawake wanapenda mzinga

Inaelekea una uzoefu sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baba nikitazama ubeti wa mwisho hapo nimegundua hapo lecture umegawa degree,ajira na retirement allowance. Umebakisha kumpatia makazi mema ya milele *****.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaumeee oyeeee


Akijilengesha mtu piiiiiigaa
Akionesha mistari ya utam piiigaa

Jamani nasema hiviii nyie pigaaaaa

Akitaka kukuchuna muulizie sikuzake za hatari,, mpige mimbaa, maana haiwezekani utafte pesa kwa kwikwi na madoso ya hatati mtu achukue chukue pesa hiyo kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom