Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

Unawafundisha wanaoanza kuchuna?
Tuliokubuhu huu uzi hautuhusu.
 
Njia pekee ya kumchuna Mwanaume ni.
  • Kumjali
  • Kumpa mapenzi matamu na upendo wa kweli
  • Kuwa msafi na Kumpikia chakula kitamu
Nakuhakikishia hautamchuna bali atajichuna mwenyewe na kukupatia nyama/Pesa.
Upo sawa mkuu
 
Ila kwa haya mafundisho mtasababisha hata wale wenye nia za dhati kuogopa wakiangalia hizo elements za Kudanga isitoshe mtu akisikia suala la pesa hata kama kuna umuhimu mtu ni atukua hatoi, na biashara za kushobokeana zitaishia hapo tutabaki tunatizamana kama wanajeshi wa jinsia tofauti wanapokua depo
 
Ohio pole sana ndio ubaya kusomea kozi kama hiyo yako..
Nakua humu sema sioni cha kuchangia
Hii Huwa inatokea.. unaona kama kwenye kila Mada huna interest, Kuna wakati huwa nakuwa nishaandika comment ila na cancel kupost kwa sababu najikuta sioni umuhimu wa kucoment
 
Hii Huwa inatokea.. unaona kama kwenye kila Mada huna interest, Kuna wakati huwa nakuwa nishaandika comment ila na cancel kupost kwa sababu najikuta sioni umuhimu wa kucoment
Thread za kuvutia Hamna MTU unashindwa uchangie nini..
 
Ha ha ha ha tulishawazoea wengine kutuchuna ni ngumu wataishia kupata stori na kupata vinywaji tu.
 
kwa staili hii mbinguni tutajikuta wanaume peke yetu
 
Back
Top Bottom