Somo kwa wanawake: Jinsi ya kumchuna mwanaume

Yani kujishughulishaa koteee weee kwa mwanaume nisiempenda kisa nipewe elf 20 ama laki

Mabinti jishughulisheni mpate pesa ndo mtajua laki ni 'peanuts' aka vijisenti...magari mbona women are buying cars sanaa tuu

Mapenzi raha yake upendwe bila kujilengesha na umpende pia yani upate burudani ya moyo

Pesa nzuri ni ile ya kwako yenye uhakika wa kuwepo leo na kesho...muulizeni Zari kwa hili

Km mnadhani kuchuna kazi rahisi muulizeni Hamisa M..
Jamii tujifunze
 
Ninyi wanawake si mnasemaga mapenzi pesa? Mwanaume ana jukumu la kuhudumia/kumpa mwanamke pesa etc.. Mbona mnakuwa vigeugeu LadyRed
 
Nakazia

Everybody has a price...

Na price ya kila mwanamke inategemea na 'level' ya maisha alonayo...kwa mfano binti cant be earning six figures afu ajitutumue kupata 40k au laki from a man asiempenda

Hzi zilizoandikwa they just dont hold for me
Yani sio motive kwangu kujituma kwa mwanaume...ntajituma kwa kuthamini penzi letu baaas

Ieleweke sio kwamba my man akinipa hata elfu 10 sitachukua...actually nitachukua na ntashukuru mno kwa 'kitendo' cha yeye kunikumbuka ...ila sitojituma kwake ili nipate elf 20,40,laki,nk

Huyu anafundisha mabinti utumwa wa kujitakia
Sijui km ur getting my point...MOTIVE is key
 
Back
Top Bottom