financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Oct 23, 2018 #101 Lyagwa said: B, means aliyeshindikana. Basi sawa. Mwanzoni nilidhani umemanisha Mbunge wangu bwana, huenda niangeanza maandamano Click to expand... ohh, basi pole kwa neno kama lilikua tata kwako, japo kwa pale ungeweza tu kuelewa nilimaanisha sugu mbunge or sugu kushindikana?,ila its okay
Lyagwa said: B, means aliyeshindikana. Basi sawa. Mwanzoni nilidhani umemanisha Mbunge wangu bwana, huenda niangeanza maandamano Click to expand... ohh, basi pole kwa neno kama lilikua tata kwako, japo kwa pale ungeweza tu kuelewa nilimaanisha sugu mbunge or sugu kushindikana?,ila its okay
Kaka Pekee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2018 Posts 336 Reaction score 567 Oct 23, 2018 #102 Barieda said: Bahati nzuri sinywi pombe wala kuvuta sigara. Click to expand... Safi kwa Starehe yetu nyingine Ilee...
Barieda said: Bahati nzuri sinywi pombe wala kuvuta sigara. Click to expand... Safi kwa Starehe yetu nyingine Ilee...
Savage Dad JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 1,388 Reaction score 2,611 Oct 23, 2018 #103 Umenena vyema mkuu. Huu ni ujumbe kwa wale wanaoranda na waume za watu. Dada hapo kishasema mwanamme wa kweli yule anaetulia na family yake na bila shaka mwanamke wa kweli yule anaelinda ndoa yake.
Umenena vyema mkuu. Huu ni ujumbe kwa wale wanaoranda na waume za watu. Dada hapo kishasema mwanamme wa kweli yule anaetulia na family yake na bila shaka mwanamke wa kweli yule anaelinda ndoa yake.
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,806 Oct 23, 2018 #104 hivi kati ya mume mnywaji na mla ndumu,yupi ana nafuu.?
L Lyagwa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2013 Posts 1,757 Reaction score 1,060 Oct 24, 2018 #105 financial services said: ohh, basi pole kwa neno kama lilikua tata kwako, japo kwa pale ungeweza tu kuelewa nilimaanisha sugu mbunge or sugu kushindikana?,ila its okay Click to expand... Tunanogesha tu mjadala Mkuu, don't take it seriously
financial services said: ohh, basi pole kwa neno kama lilikua tata kwako, japo kwa pale ungeweza tu kuelewa nilimaanisha sugu mbunge or sugu kushindikana?,ila its okay Click to expand... Tunanogesha tu mjadala Mkuu, don't take it seriously