Babe hiyo avatar jomoniii..😊Wanaume mkujeee
Kuna ujumbe wenu
Huo ndio uanaume.Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???
Sijui yatabadilika lini haya madudee
Babe hiyo avatar jomoniii..
Kama ya kuchoraa vilee😍Imefanyaje babe hiyo avatar nimeiiba uko kwenye picha za watu nimeipenda eti nilivyoiona
Pesa zangu ni za wote ila pesa ya mke wangu ni yake. Kwahiyo hapo hakuna tatizo. Kazi na dawaWanaume mkujeee
Kuna ujumbe wenu
Kama ya kuchoraa vilee
Kritika, Unaweza kuwa uko sahihi na Hoja yako, lakini kwa namna ulivyo ileta inaonekana unataka kutumia Vitisho au Nguvu kuwataka Waume watumie muda wao mwingi kukaa na familia zao kitu ambacho unaweza usifanikiwe, Wanaume wengi wanaokimbia miji yao kwa kurudi usiku mrefu kwa kawaida huwa wanakimbizwa na wake zao nyumbani, hawezi akachelewa kurudi nyumbani kama nyumbani pana mvutia, But kama nuymbani kwake kuna shari anaona ni heri akae bar aondoe stress zake ili akifika nyumbani ni kulala tu.Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???
Sijui yatabadilika lini haya madudee
Mmhh...zote tam ila hii iko clear zaidi...halafu kila nikiizoom haikujii😔😔Woiiiii na wakati kuna mtu kaniambia hajaipenda niitoe nirudishe ya zamani tunabaki kubishana tu
Mmhh...zote tam ila hii iko clear zaidi...halafu kila nikiizoom haikujii
Ambao hatujaoa hii haituhusu, tunasoma comments tu!
Bahati nzuri sinywi pombe wala kuvuta sigara.Ila comments inabidi uziweke akilini
Tumia muda wako mwingi kukaa (ku spend) na familia yako, hao unaokunywa nao pombe iko siku watakuzimia simu mxieeeew.
Unakuta lijanaume hata watoto hawalijua linatoka asubuhi linarudi saa saba usiku lipo tungi halijui hili wala lile,unafikiri huo ndio uwanaume???
Sijui yatabadilika lini haya madudee